Ndoa inaelekea kunishinda

Hua naomba sana mungu
Nkifikia hatua ya kuowa basi nihakikishe natulia na mke wangu
Hawa viumbe pengine hua sisi tunawasababishia wenyewe
 
Daaah huu ushauri wakubalance shobo kuna uwezekano mkubwa utamshinda na madhara yatakuwa mabaya sana kwake na familia yake.

Huyu ni mgeni kwenye mambo haya. Ugeni wake utamfanya akamatwe kabla hata 'hajakazwa'.

Ampuuze mwamba, ajikite kutunza mimba yake mpaka atakapojifungua aone kama hali hiyo 'kucheat' itaendelea.

Huenda mwamba amerejea kambi zake za awali kwasababu ya 'complications' za ujauzito wa kwanza wa huyu bidada. Hii ina maana kwamba akijifungua mambo yatakuwa sawa.

Dokezo la maslahi; Ujenzi wako wa hoja huwa unanivutia unahamasisha msomaji kutoa hoja hata kama ni kinzani.
 
Yaani aminini tu kwamba we are trying really hard.

Hususan sasa wengine kama mimi, changamoto ni nyingi sana. Maofisini, majiani huko wadada wanajilengesha yaani nyie acheni tu.

Tunayoyapitia kwa kweli mtuombee tu jamani
Mnapenda lakini kutakwa maana msingependwa msingefatwa
 

Usishirikishe mtu Ni kujiabisha, mpe Mda tu huwa wanatulia majukumu yakiongezeka!

Huyo bora kaomba msamaha na kumpigia mchepuko na kuacha simu, mwingine angekubomoa haswa!
 
Watu wenu wa karibu ndio wanaweza kuwashauri wote mkiwa pamoja.
 
ukweli hukuweka huru, km anakubali kufichwa km Arv baasi hakuna namna anakubali tu
Kiukweli ukipata mwanaume loyal kwako 100% nenda katoe sadaqa...

Ni ngumu sana kuwa faithful hasa kwa dunia hii ambapo kila angle ina vishawishi...tuna tabu sana vidume!
 
Cha peke ako kaburi. Hivi unazani kila mwanaume akiwa mwaminifu kwa mwanamke mmoja wengine watasaidiwa na nani?
Jiumize lakini ufunge mkanda haswaaaaa maana dhoruba ndo kwanzaaaaaa zimeanza. Hko kitu kinaitwa ndoa ni checheee ...wachache sana wenye furaha na ni baada ya kuamua kupuuza
 
Mubarridi njoo kule naona umenikimbia
Kumbuka Muhammad alikuwa anakula mpaka house girl na hakuna mke wake kaomba talaka

It was narrated from Anas, that the Messenger of Allah had a female slave with whom he had intercourse, but 'Aishah and Hafsah would not leave him alone until he said that she was forbidden for him. Then Allah, the Mighty and Sublime, revealed:
"O Prophet! Why do you forbid (for yourself) that which Allah has allowed to you.' until the end of the Verse. Sunan an-Nasa'i 3959
 
Mnapenda lakini kutakwa maana msingependwa msingefatwa
Maisha bhana ni kizungumkuti.

Yaani life is crazy. Kwa mfano, washkaji wanapata everything sometimes lakini bado tu unakuta mtu lazima atest mitambo somewhere
 
Kukimbia nchi kisa mvua inanyesha ni ujinga..!! It rains everywhere.. Tofauti ni msimu tu.
 
Pole sana. Wachepukaji wapo ila wa kwako ni kiboko. Mi nadhani usione aibu kushirkisha mchungaji ili hata likitikea la kutokea wawe wanajua.
 
Tunza ndoa yako hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja kokote uendako cha kuomba asikuletee STD'S na ndio maana Uislaam umeruhusu MITALA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…