Yote yanini hayo mkuu.Hapo ndipo baadhi ya wanaume wanapokosea, heshima ni lazima iwepo ndani kwako inakuaje unaruhusu siri zako nje mke wako ajue. Watu tunavisimu vidogo vile vya tochi na number nyengine kabisa ukirudi home unakiacha kazini au unakificha sehem salama kwenye gari na unahakikisha kipo silence.
Asante kwa ushauri wacha nitafute.Yote yanini hayo mkuu.
Tafuta simu za XIAOMI ndo komesha ya privacy zote unazotaka kwa mawasiliano,huna haja ya vitochi mara ufiche uvunguni mara uwe na laini nyingne