Ndoa ina changamoto zisizoisha

Yeye anatakiwa asimame kwa miguu yake yeye ndo anae umia moyo akiona hawezi aondoke ila akiona bado anayamudu aendelee tuu kuvumilia ila akumbuke kuna magonjwa
 
Kweli kabisa ukioa mke wa mtu lazima utasalitiwa tuu. Nilioa mke wa watu si kusalitiwa huko.
 
Yeye anatakiwa asimame kwa miguu yake yeye ndo anae umia moyo akiona hawezi aondoke ila akiona bado anayamudu aendelee tuu kuvumilia ila akumbuke kuna magonjwa
Hili la magonjwa ndo balaa
 
Kweli kabisa ukioa mke wa mtu lazima utasalitiwa tuu. Nilioa mke wa watu si kusalitiwa huko.
Mhhh,kwamba akiachana na mume wake,akiolewa ataendeleza nae?
 
Pole sana Dada yangu kwa kuishi na MTU wa kuumiza moyo wako, binafsi nimeoa sipendi michepuko kwani najua maumivu yake na sijui nikigundua mke wangu anatabia hiyo, but mungu aturehemu
Mungu akusaidie uendelee na huo msimamo
 
Mhhh,kwamba akiachana na mume wake,akiolewa ataendeleza nae?
Hapana kuna mwanamke anamtongoza akiwa tayari kwenye mahusiano na mwanaume anayempenda kwa dhati. Lakini mwanaume huyo anaweza kuwa kashaoa tayari hivyo basi mwanamke anakubali kufunga ndoa hali anampenda zaidi yule mwanaume ambaye tayari yupo kwenye ndoa au kwasababu fulani hawezi kumwoa.
 
Nimekuelewa sanaaa
 
Nikwel,hakuna dunian mwanaume asiye cheat,one way or another
Ishu mtu unahitaji heshima lakin wengine husahau hadi familia kabisaaa kumuona kimada ni wa maana kuliko mkewe wa ndoa.
 
Unamuacha mke wa ndoa kwa kua alikusaliti ila unaenda kuoa mke alieachwa kwa kosa la kusaliti mapenzi bwana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anaekupiga ngumi ya sikio na wewe mpige ya jicho....akikuuliza unaonaje na wewe mjibu unajisikije
 
Ishu mtu unahitaji heshima lakin wengine husahau hadi familia kabisaaa kumuona kimada ni wa maana kuliko mkewe wa ndoa.
Hili ndo bays zaidi,mtu anasahau kabisaaa kama ana familia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…