Ndoa hizi zisikieni tu

Walipitia hii kitu inaitwa, Urafiki, Uchumba hadi Ndoa?
Au walikutana miezi mitatu tu, mwezi wa sita wakafunga ndoa?

 
Without doubt wamesikia ombi lako, tutatekeleza.....
Mimi mzima mamito, sijui wewe. Upo kimya sana, ndo huyo mume kakubana sana?
mie niko poa kbs wangu. Mume kashika vyote sipumui khaaa!!!

sony wat?
we uko juu mwal unajua simu nying hivooo?
by ze wei uko poa?
hahhhhahhahaha!!!!!!!!!!!!!!!
shostiii utazijuaje na weye wakaa mabwe?? tembelea mjn mwal.
ivi lini uteenda kwa lile limeza la kilio na raha?
miss u maa! uje kwangu kulala wallahi! nina mengi moyoni mgongoni na moyoni kwa madiskasheni! twins nao wamemiss mgongo, khaaaaa!

uwiii haya nunua kwanza pampas, na makintosh chupa za maji moto, maziwa na ujiandae kukesha wewe na mkeyiii
 
Hivi watu wakishaa wote mahusiano hayaishagi ehh...kazi kweli kweli
 
Mfanya biashara ndogo ndogo ampate daktari unadhani kuna sababu ya research hapo...huyo aliingia mzima mzima...mara kumi angemkubali yule mwenye kigenge wangekuwa wanaishi kwa ma lovedave muda huu...

wakati mwingine kukiwa na utofauti mkubwa ki class unatakiwa uongeze umakini kwenye kuamua...
 
mwanaume wa ivo aiseeh mie hapana!!,narudi kwetu sikufukuzwa

We subili uolewe ndo utakapoyajua mambo ya ndoa haya unayoyasoma hapo ni nadharia tu,unadhani kurudi kwenu ni rahisi namna hiyo?
 

Well said Mkuu,ajaribu/ kumuuliza binamu yake amwambie ukweli kama nae kuna sehemu alishakoroga mumewe ndo maana pengine akawa hivyo.Amwambie afunguke huyo binamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…