Ndoa hizi zisikieni tu

Wanaume wengine wanabadilika ndani ya ndoa...tabia wanazificha mwanzoni...
 
Ao ndio wanawake wakiona mwanaume ana hela au anakaz nzuti kidogo anamwendea kwa mganga....mwanaume akupende mwenyewe na c kwa nguv za giza matokeo yake ndio ayo dawa zmeisha nguvu akaongeze dawa zengine ili ajilekebishe
 
Tatizo siku hizi watu wanaoa au kuolewa kwa kuangalia status ya mtu. Tabia ya mtu imekuwa si kigezo tena cha msingi. Wengi wanajidanganya kwamba huenda atabadilika akiwa kwenye ndoa. Matokeo yake ndiyo hayo mtu kuiona ndoa kama jela.

Wakati mwingine hata familia zinakuwa ni chanzo cha haya. Ukienda kutambulishwa kwa wazazi, swali la kwanza ni kijana unafanya kazi gani? Sasa ukisema mimi ni daktari hata kama baadaye mchumba wako akakuona humfai kitabia hakubaliwi kukuacha. Matokeo yake mtu anaenda kuishi kwenye ndoa ya mateso isiyo na amani.
Ushauri wangu kwa singles kama mimi, tunatakiwa kuwa makini kwenye kutafuta wenzi wetu. Kupenda maisha ya kuangushia si vizuri. Matokeo yake ndiyo haya kuishi kwenye ndoa za masimango zisizo na amani.
 
Ao ndio wanawake wakiona mwanaume ana hela au anakaz nzuti kidogo anamwendea kwa mganga....mwanaume akupende mwenyewe na c kwa nguv za giza matokeo yake ndio ayo dawa zmeisha nguvu akaongeze dawa zengine ili ajilekebishe

Sahihi kabisa, waambie wajue!
 
HAKIKA NIKWAMBIE KITU ! ! ! WEWE UNAEANDIKA HAPA NDOA YAKO NDIO ITAVUNJIKA NA WAO WATAPETA HADI MIAKA YA 55yrs na kuendelea utakapowakuta watakuwa kama mapacha raha tupu HUO NDIO MSINGI WA GOROFA 30 WANAJENGA NI KAZI SIO MASIALA HAPO, wewe cheka cheka na wako huyo na mwende nae saloon uone...
 
Ndoa ni wewe na yeye. Ndoa za wengine si zako ni zao. Nyinyi wawili ndio mtatengeneza ndoa mbaya au bora!
 
People don't get it sometimes...it's not always about getting married, it's about staying married
 
Mwambie ajitahidi kwenye biashara ikue na akasome. Inavyoonekana huyo mwanaume anamdharau kwa kipato chake kidogo na shule yake ndogo.
 
Binamu yako aliolewa akiyajua yote hayo...mnajipaga moyo atabadilika.

Mwambie aanze kujipanga kuishi mwnyw hapo ndoa hamna.

umeongea points juzi kuna uzi uliwekwa humu kuhusu wadada wanaokimbilia ndoa za wenye vipato mkadai"bora manyanyaso ya kwenye verossa kuliko ya kwenye baiskeli"tama zinatuponza wadada kutaka madr,injinia,wahasibu,so tunavuna tunachopanda.
 
na inawezekana alishauliwa kabla akaona watu wana waivu.

umeona eeh!wadada tunapenda titles sana mume dk.ukute yule aliyezaa nae ndo anaempenda ila kamuoa huyu ili asipate laana ya wazazi tujifunze jamani!
 
umeongea points juzi kuna uzi uliwekwa humu kuhusu wadada wanaokimbilia ndoa za wenye vipato mkadai"bora manyanyaso ya kwenye verossa kuliko ya kwenye baiskeli"tama zinatuponza wadada kutaka madr,injinia,wahasibu,so tunavuna tunachopanda.

Nakupa mia... yan wanawake ckiz tunatamaa sana et mwanaume kama hana gari anakatiliwa jaman ndio maana wanaume wanatuzarau.....
 
umeongea points juzi kuna uzi uliwekwa humu kuhusu wadada wanaokimbilia ndoa za wenye vipato mkadai"bora manyanyaso ya kwenye verossa kuliko ya kwenye baiskeli"tama zinatuponza wadada kutaka madr,injinia,wahasibu,so tunavuna tunachopanda.

lakini haya malalamiko ni ya upande mmoja tu. huenda tungesikia daktari anasema nini siajabu tungeona huyo wife ndio mwenye matatizo.
 
Huyo dr ni kilaza.. Hata kazini atakuwa na malpractice kibao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…