Christine ibrahim hebu ukuje huku mama uwape mwanga... Wanahitaji neno
Nimekuwa najiuliza huu utaratibu wa kwenda kwenye nyumba za ibada kufunga ndoa ni wa wapi?
Tunajua kuwa mambo haya yanatakiwa yafanywe kwa mujibu wa maandiko matakatifu,sasa hili limetoka wapi?
Mambo yote yangeandikwa wino na makaratasi visingetosha ila walichukua yaliyo ya muhimu...ninachojua Yesu alialikwa kwenye harusi Kana ya Galilaya na alikwenda,nani alifungisha,wapi ilifungiwa sijui ila ndoa ilifungwa.
Baba paroko mbona unatutega?
Mie nadhani ndoa inaweza kufungiwa mahali popote penye utulivu na panapoweza kufanyika ibada. Ndio maana hata kwenye jumuiya ndogo ndogo (for catholics) mkiwa na ibada mnaweza kufanya hiyo kitu na hata nyumbani pia.
kwakuwa Mavuno ni mengi na watendakazi ni wachache ndipo ukaja utaratibu wa watu kukusanyika pamoja sehemu ya kuabudia kanisani na kwa ajili hiyo. Imagine mnafunga ndoa watu 10 halafu baba paroko ukaitwa na kila mmoja ukafungie kwake...nadhani ni utaratibu tu unaoweza kubadilika wakati wowote kwakuwa sio kanuni ya Imani!
Niliwahi kusikia pia wapo waliofungia ndoa kwenye ndege nk....
Nimesoma sana maandiko matakatifu ya Biblia na sijaona mahali ambapo watu wamekwenda either kwenye sinagogi au hekaluni kufunga ndoa,sijui kuhusiana na Quran,ila kwa Biblia ndio hivyo
Nimekuwa najiuliza huu utaratibu wa kwenda kwenye nyumba za ibada kufunga ndoa ni wa wapi?
Tunajua kuwa mambo haya yanatakiwa yafanywe kwa mujibu wa maandiko matakatifu,sasa hili limetoka wapi?
Kama kuna anaejua naomba anijuze ni wapi kuna watu walikwemda kwenye nyumba za ibada kufunga ndoa au ni wapi imeelezwa kuwa watu wakitaka kuoa waende kwenye nyumba za ibada?
Kwenye maandiko nilichokiona ni pale ambapo mtu alipotoa mahari basi aliyemtolea mahari alihesabika kuwa ni mke tayari,hii ya kwetu ya kwenda kwenye nyumba za ibada imetokea wapi?
Nani amesema kila kitu kimeandikwa?1. Sio kila kitu kilichofanyika wakati ule kimeandikwa ndani ya Biblia,
Unajua mimi nimeuliza kitu gani?2. kuna vitabu vingi sana vinavyohusiana na mambo ya ukristo/wakristo ambavyo havimo ndani ya Biblia (Katoliki wanalijua hili)
Kijana mimi nazungumzia Biblia na ritual nzima ya ndoa kama kuna mahusiano wewe unaniletea mapokeo3. Kuna mapokeo (Dogma) labda yapo yanayozungumzia hayo ya ndoa
Nani amesema kuhusu kokote?4. Kama ndoa inawezwa fungwa 'kokote' kwa nini isiwe kanisani?
Alaa! kuuumbe! --Duuh paroko umekuja na kali ya mwaka,cku hizi twataka ushahidi yani cheti cha ndoa coz ili tukitafuta wote cku ya kuachana pasu kwa pasu hakuna cha huyu mwanamke,na ushahidi upo kanisani coz mwanaume hashindwi kumruka mke wake!zamani wanawake walinyanyasika sana aiseee!