Ndoa bila Tendo......Msaada

miaka 6!!!? Sipati pic bado!
Halafu hyo mume anajua tatizo ndo maana anakua mkali akiwa anaulizwa
 
Well said Kongosho. Nafikiri kuna kitu huenda kimeshajengeka kwenye akili ya huyo ndugu. Awe muwazi .Pengine anaumwa magonjwa kama ya kisukari apime ili ajue tatizo ni nini.
 
Nyani Ngabu, maisha si ndio hayahaya tunayoishi, hatuwezi zungumzia jipya zaidi ya hayahaya tuuu,toa busara zako

KISUKARI hicho, hakuna dawa zaidi ya coping mechanism! Halafu dada yako amekosea sana kutoka nje...hilo litahaunt milele..
 

Yani mwenyewe naona kabisa mchawi yuko kati ya haya hapaa....angejibu labda tiba ingepatikana
 
ushauri mnzuri sana swla jingine ni nyema wakatoka mazingira hayo na kwenda sehemu tulivu sana then amweleze mumewe kistarabu yani wakiwa katika maandalizi mume ajiandae kisakolojia mawazo yote yawe kwake pia adhalau hisia zinazojitokeza kwa wakati huo, Pili kama familia kujikabidhi mikononi kwaMungu asa kuvunja maagano yote ambayo nyuma aliyaweka either kwa wale wanawake wa nyuma ama kwa njia yeyote ile. Nnamdi Jr I Arumeru
 
KISUKARI hicho, hakuna dawa zaidi ya coping mechanism! Halafu dada yako amekosea sana kutoka nje...hilo litahaunt milele..
shem haumwi kisukari, sio mnene wa kivile
 
shem haumwi kisukari, sio mnene wa kivile

Binti kisukari sio unene, siku hizi KISUKARI ni ugonjwa wa kila mtu mpaka watoto wadogo sana. Na kisukari ndio ugonjwa ambao unamaliza sana NGUVU ZA KIUME, aende akacheck, ondokana na mapokeo ya zamani kuwa ni ugonjwa wa wanene na matajiri..
 
Ilianza miaka hiyo niliyotaja,anasema alianza kama utani, inaweza akawa anamhitaji leo usiku akaambiwa ana stress, ilikuwa week haipiti, ikaanza kupita, mara mwezi mara akawa anajisahaulisha,ugomvi wao ni wa kawaida kama couple nyingine,sio maugomvi makubwa sana,hajawahi ombwa tigo hata mara moja,alishawahi mfuma na mwanamke wake baa, ila sio ile live,na msg za hapa na pale anazikutaga,hana small house ya kudumu,wala hana tabia ya kuchelewa home,ni hizo za wanaume za kawaida,mfanya biashara, age 46,hana sukari wala nini,sio tipwatipwa,mtu wa gym
 
Yereuwiiiiii, mwezi tu mie ningekuwa natembea huku nakata viuno barabarani,asikwambie mtu ile kitu tamu ati,miaka sita ningeandamana mpaka kwa paroko nachukua waumini mpaka kwa askofu mkuu wa jimbo, jamani pole sanasana, kuna kitu hakiko sawa sister wako hajakuweka wazi, hiyo kesi si ndogo jamani kama tuionavyo
 
Msaada au mchango wa mawazo hauwezi kuwa kwa mke tu na ili tatizo liweze kutatuliwa lazima mwenye tatizo alikubali na kulitambua tatizo lake. Akishakubali ndio njia za kulitatua tatizo zianze. Bila kufanya hivyo kwa uelewa wangu huu mdogo siamini kama kuna mafanikio katika hili. Ni maoni yangu tu jinsi nionavyo.
 
Napata ujuz hapa kutoka kwa wataalam! Ushaur kdogo nlionao mwambie shemejio awe anatafuna tangawizi mbichi kiasi bila kuitwanga then anapata declofenac mbili anakunywa na maji ya kutosha muda wa mchana then jioni anapiga match! Utanambia km dadaango hajakmbia! Serious.
 
daaaah mie sina la kusema,mpe pole sana,tendo la ndoa,ndio furaha ya ndoa asikwambie mtu
 

teh teh teh unakata viuno vya nin sasa?! Uvumiliv ndo jambo la msingi.
 

Link hii yaweza kuwa msaada

https://www.jamiiforums.com/mahusia...iza-anapofanya-tendo-la-kujamiiana%85%85.html
 
huyo mume hayupo fair kwa mke wake.ingawa huyo mume inamuumiza.inavyoonyesha bado hajalikubali tatizo lake otherwise angeenda hospitali na mke wake,kwani mke ana m support mume.mke anaishia kunyongonyea tu.ki ukweli miaka 6 ni mingi mno.maybe baadhi ya dawa ulizozipata jf azijaribu
 
Hapo bwana kuna matatizo kibao....mwanamume hawezi kuwa mrenda kwa miaka 6 yote....

Ngoja kwanza nipulize kiko kidogo,

Babu DC!!

Miaka 6 si mchezo, ninavyohisi mimi. Huyo Mume atakuwa Na kimada cha nje Na ndicho kilicho mtengeneza jamaa kwa Sangoma, ili asiweze kuperform kwa mkewe Na pia asifikirie kama ni kosa (kutomridhisha mke), cha maana maombi hapa yanahitajika...
 

majibu umenipatia ila kwa hizi comments anaweza kuzifanyia kazi kwanza kisha nije na dozi ya kumaliza tatizo ikiwamo vyakula na mazoezi na hata ushauri wa kwenda kwa kiongozi gani wa kiiman au hata mganga gani wa jadi.
 
Sio mie, sijaolewa nivea.ingekuwa mie wala nisingeona shida coz hakuna anaenijua humu
Napata shida kidogo kuamini kuwa dada yako anakueleza kila kitu kwenye hiyo ndoa yake, kweli?? pili huyu mwanaume kwa muda wote huo haoni kuna haja sasa kutafuta suluhu ya hilo tatizo? miaka 6 bila jigijigi? hii inaweza ikawa pysychological issue na ina bidi ai address accordingly, nasema hivyo kwa sababu nikama anatunza jipu ambalo dawa yake si zaidi ya kutoboa usaha utoke. tatu, ukweli ni kwamba mficha maradhi kifo kinamuumbua, awaone specialist, ni maoni tu lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…