Ndo tabia gani hiyo????

Hivi naomba niwaulize walimwengu, upi ni ustaarabu? Kutokuangalia kabisa hiyo mikito au kuiangalia sirini?
 
Ahsante Kipipi kwa kulisemea hili!
Kwa kweli kuna watu wanakera kama nini!!
Aarghhh!
 
Last edited by a moderator:
Kutoiangalia kabisa mkuu.

Asante kwa jibu mwanana kabisa...maana wengi wetu hupenda kujibaraguza kwa kuyatakasa yale matendo wayafanyayo wakiwa wamejificha pasipo kuonekana na kadamnasi.
Mathalani si aghalabu kumsikia Mswahili akisema "iba lakini usikamatwe", kimantiki msemo huu wamaanisha kuwa kuiba ni halali.
 
dah shost bhaeleze bhakuelewe maana kuna watu wanabore sana wanajidai kila kitu utandawazi wakati ni kero tu,wanaudhi sana:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
 
Ila movie nyingi za ngono zimelinda wengi wasipate maambukizi ya STDs maana mtu anamaliza hamu yake kivyake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…