Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,092
- 2,923
USINGELIONDOKA, UNAKOMAA NAO! MPIGIE NDALICHAKOHabari wakuu ndo nimetoka ofisi za Tcu pale kivukoni mkabala na ikulu cha ajabu nimewakuta wanafunzi wengi wa multiple admission na ilipofika zamu yangu kuwaeleza nimechaguliwa vyuo viwili but sijatumiwa code number wakadai kwamba eti washatuma kwa watu wote hivyo sisi labda tutakuwa tumekuwa tumekosea namba ya simu. Aisee kajasho kembamba kalinitoka japo ilikuwa asubuhi mvua inanyesha.ikabidi sasa nitumie techniques za kuwatishia kwamba nitaandika barua kwa waziri wa elimu kuhusu kunyimwa haki ya msingi ya elimu ya juu .ndipo wakatoa form na tukapewa kujaza form six index number, na namba ya simu wakatuambia tuendelee kusubiri...
Nipe namba yake mkuuUSINGELIONDOKA, UNAKOMAA NAO! MPIGIE NDALICHAKO
Habari wakuu ndo nimetoka ofisi za Tcu pale kivukoni mkabala na ikulu cha ajabu nimewakuta wanafunzi wengi wa multiple admission na ilipofika zamu yangu kuwaeleza nimechaguliwa vyuo viwili but sijatumiwa code number wakadai kwamba eti washatuma kwa watu wote hivyo sisi labda tutakuwa tumekuwa tumekosea namba ya simu. Aisee kajasho kembamba kalinitoka japo ilikuwa asubuhi mvua inanyesha.ikabidi sasa nitumie techniques za kuwatishia kwamba nitaandika barua kwa waziri wa elimu kuhusu kunyimwa haki ya msingi ya elimu ya juu .ndipo wakatoa form na tukapewa kujaza form six index number, na namba ya simu wakatuambia tuendelee kusubiri...
Upo vzr*IPO vzr ,madogo wengne hku wanalialia tu code hawazion na wapo kmbiji
Mkuu bado upo hapo maana namimi nina tatizo hilo hilo na nipo DodomaHabari wakuu ndo nimetoka ofisi za Tcu pale kivukoni mkabala na ikulu cha ajabu nimewakuta wanafunzi wengi wa multiple admission na ilipofika zamu yangu kuwaeleza nimechaguliwa vyuo viwili but sijatumiwa code number wakadai kwamba eti washatuma kwa watu wote hivyo sisi labda tutakuwa tumekuwa tumekosea namba ya simu. Aisee kajasho kembamba kalinitoka japo ilikuwa asubuhi mvua inanyesha.ikabidi sasa nitumie techniques za kuwatishia kwamba nitaandika barua kwa waziri wa elimu kuhusu kunyimwa haki ya msingi ya elimu ya juu .ndipo wakatoa form na tukapewa kujaza form six index number, na namba ya simu wakatuambia tuendelee kusubiri...
Ikishindikana una mawili-vamia wizara ya elimutafuta waziri au mkurugenzi vinginevyo funga safari ya dar TCU ikishindikana omba raundi ya pili kwani utakuwa huja confirm chuo chochote ingawa sijui effect ya hili kwenye kupoteza nafasi yako. Hapa nawaza tu kwa sauti sijachuja vizuri lile nisemalo.Mkuu bado upo hapo maana namimi nina tatizo hilo hilo na nipo Dodoma
Nampata VP huyo CEOIkishindikana una mawili-vamia wizara ya elimutafuta waziri au mkurugenzi vinginevyo funga safari ya dar TCU ikishindikana omba raundi ya pili kwani utakuwa huja confirm chuo chochote ingawa sijui effect ya hili kwenye kupoteza nafasi yako. Hapa nawaza tu kwa sauti sijachuja vizuri lile nisemalo.
Lingine CEO wa TCU alikuwa Prof. pale ardhi university nafikiri anaitwa Kihampa jaribu kuingia huko uangalie kama unaweza kupata namba yake ya simu kama hajabadlisha halafu mpigie.
Kwaiyo mshapewa au bado kusubiria?Habari wakuu ndo nimetoka ofisi za Tcu pale kivukoni mkabala na ikulu cha ajabu nimewakuta wanafunzi wengi wa multiple admission na ilipofika zamu yangu kuwaeleza nimechaguliwa vyuo viwili but sijatumiwa code number wakadai kwamba eti washatuma kwa watu wote hivyo sisi labda tutakuwa tumekuwa tumekosea namba ya simu. Aisee kajasho kembamba kalinitoka japo ilikuwa asubuhi mvua inanyesha.ikabidi sasa nitumie techniques za kuwatishia kwamba nitaandika barua kwa waziri wa elimu kuhusu kunyimwa haki ya msingi ya elimu ya juu .ndipo wakatoa form na tukapewa kujaza form six index number, na namba ya simu wakatuambia tuendelee kusubiri...
nadhani swala la msingi tcu wasubiri majina ya watakaoripoti chuoni kisha wao wayatume loan board. nje ya hapo watasumbua wanafunzi na kusababisha wakose vyuo.Mimi mpaka sasa sina imani nao,
Nilichofanya nimewaandikia message kuwa naenda zangu chuo fulani,
Huo ni ushahidi tosha wa confirmation, kwani kinachohitajika si ni mtu uconfirm tu?
Wao si wameshindwa kututumia codes? Basi tushaconfirm kwa email, hatuwezi kupoteza mwaka nyumbani kisa mapungufu yao
Ni kweli, maana huo mfumo wao umeprove failure, total failure!nadhani swala la msingi tcu wasubiri majina ya watakaoripoti chuoni kisha wao wayatume loan board. nje ya hapo watasumbua wanafunzi na kusababisha wakose vyuo.