Ndo nimeachwa hivi au?

Mkuu ukiona dalili za kuachwa muache wewe kwanza.
Nikiachwa nitafanya lolote nirudiane nae then akinikubali tu.Namwacha mimi.
 
Rusha mhamala kwa simu yake! Mrushie 1000000 afu uje useme km bado hapokei
Well said rusha mshiko then mpigie ukiona apokei wapigie customer care wambie umekosea nambari ya kutuma muamala irejeshwe kwako.
Utanipa jibu kama hajakupigia
 
Mpe hela uone kama ataendelea na msimamo huo
 
Duuuuuu

Kumbe vizawadi zawadi muhimu ehhh. Ukikutana na mimi mpenzi wa kwenda beach utafurahia zawadi ya kuiona bahari hadi iwe kero



Justajoke
 
Tatizo lenu tamaaa! sio kampata mwingine sema kapata bwana mwenye pesa zaidi ya bwana wake wa kwanza...
 
Daaah broo umeua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…