Ndo nimeachwa hivi au?

Quan Lup

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2016
Posts
710
Reaction score
1,012
Roho inauma ila sina namna kuna binti niliyekua nampenda ila siku za hivi karibuni amebadilika gafla naweza kumpigia simu ata mara 4 hapokei na na Baada ya Mda namkuta Kapost status Whatsapp means kwamba kaona call zangu lakini kazi mute sad namtumia Text wala hajibu au anajibu akijisikia daaah sad..
Nikimuuliza nini Tatizo anadai hakuna Tatizoo nashindwa kumuelewa wadau na nisipomtafuta mimi hatanitafuta kabisaa ata nikikaa siku 3 na yeye ata mute na mwanzoni hakua hvoo kabisaa alikua asubuhi anacheki jioni ananipigia simu tunaongea ila sasa hivi hafanyi hvoo.....


NDO NIMEACHWA HIVI AU BADO NIENDELEE KUJIPA MATUMANI KUWA ATABADILIKA??..
NOTE: HATUJAWAHI KUGOMBANA WALA NINI..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…