karibu sana bestito
ngoja nimwite Asprin akukague kidogo kama unafaa kuwa hapa cc
upelekwe kona ingine inayokufaa zaidi
utaonana na Bujibuji huyu hapa View attachment 122677 yeye atakukagua kama hauna makengeza ya upande upande ila usimuogope kwani yeye ameshapimwa na Dr. Arushaone na tena ana cheti cha UFAMASIA toka ubelgiji