canali issa
Member
- Feb 20, 2017
- 9
- 5
[HASHTAG]#SAIVI[/HASHTAG] NDO NAANZA KUONA UMUHIMU WA MKE , JANA BAADA YA KUPIKA SI NIKADEKIA MAJI NILIYOOSHEA DAGAA,, SASA CHUMBA KIZIMA KINANUKA KAMA SOKO LA SAMAKI, KUNA MAMA AMEKUJA AMENIULIZA SAMAKI WABICHI WAPO?, SIJAMJIBU AMEAMUA KUONDOKA