Hongera zako bibie...
Mi mwenzio safari zangu ni za Gmboto -mnazi mmoja...Nikipata zali labda nimealikwa Tegeta Kibaoni kwa mtu fudenge humu..!! Kila la heri bidada..!!
Hongera zako bibie...
Mi mwenzio safari zangu ni za Gmboto -mnazi mmoja...Nikipata zali labda nimealikwa Tegeta Kibaoni kwa mtu fudenge humu..!! Kila la heri bidada..!!
Kweli mkuu,nje kunafaa kwenda kuokota kilichokupeleka urejee nyumbani.Sipendi kwenda nje kuna ubaguzi sana
Kweli mkuu,nje kunafaa kwenda kuokota kilichokupeleka urejee nyumbani.
Shughuli ya mzungu inafaa kuitazama lakini siyo kufanyika kwako,utajuta.Sijui kama atatusimulia.Ukipata mzungu usiache kutusimuliaaa
Kweli mkuu,ubaguzi upo tena sana,sema watu wakirudi hawataki kusimulia wasiaibike,kuna jamaa yanguNilikuwa na ndugu yangu mmoja tuko kwenye Tube bahati mbaya akafaint dah washenzi wale walikuwa wanatutizama tu.
Just like the old days
Ni kweli ni bahati,kuna mambo ya kupata visa ambayo sometime ni shida,kuna nauli na unaenda kwa nani so ukipata vyote hivyo inakuwa ni bahati kweli maana mtu unakuwa unafanya UTALII hilo ni neno geni kwetu.Hata ulaya na Marekani kuna raia wanatamani kutembelea nchi nyingine ila na wao wanapata changamoto zao so wanafanikiwa wanasema wamebahatika....labda kama kuna hoja tofauti na hiyoHivi kwenda marekani ni bahati? yaani linaitwa zali? bado tuna kazi ndefu tu...
Kwanini mkuuShughuli ya mzungu inafaa kuitazama lakini siyo kufanyika kwako,utajuta.Sijui kama atatusimulia.