Ndo mara yangu ya kwanza...!

Haki sikuwezi... usiku mwema bana. Bosi kafika wacha nianze kazi.

hahahaaaaaa umenivulia kofia eeehhh!! asante nawe kazi njema bye!!!
 
mie sijaja kufanya kazi huku, nimekuja kupopo, kula life, kula ujana, pesa niliyonayo ikiisha narudi bongo. Mpango wa kuzaa sina wala wa kuolewa, bahati ninayo tayari sitafuti ingine, karibu tule life.
Nisalimie shemeji wa kizungu hapo ubavuni....
 
Usije ukafunga breki wewe....
 
Usije ukafunga breki wewe....

yaaani huwa nakanyaga breki hadi basi na kukaa nyuma siwezi ataona kama namkodi daaah najikaza kisabuni tuu nikiwa barabarani. Ukiwa unajua kuendesha kisha ukaa mbele halafu unaendeshwa unahisi kama dereva anaweza gonga gari anytime aaah
 
 
 
 
mgh kwenye ku puu hujatucmlia ka ulixhamba kwer nahic urisahau kwa woga
 
Yaani mashauzi mengine, mtu anaelekea Simiyu na Champion Express anapost anaelekea kwa obama, haya endelea kujifurahisha na ndoto zako
 
wazungu hawana mashiko kwangu mie ni ma black tuu, halafu ile harufu yao wanayohema ikitoka puani mie aaah inanikera wananuka kama vipanya wadogo
Hahahahahaa....aisifuye mvua ujue imemnyea.
 
Hahahahahaa....aisifuye mvua ujue imemnyea.

nilishafanya kazi customer care kwenye kampuni flani hivi kuna siku wakaja wazungu nikalazimika kukaa nao mezani ili kusolve tatizo lao, weeh mbona niliipata yaani harufu yao ya ngozi iko kama panya watoto aaaghh mie siwapendi hata hapo ndo nilisikia harufu yao sasa hivo wako na nguo wananuka hivo ntathubutu kuwasogelea wakiwa watupu katuuuuu sithubutu
 
Mimi nilishawahi kuanguka dhambini na demu mmoja wa kizungu kutoka Uholanzi nikiwa Majuu, lakini hakuwa akinuka ngozi. Au hao uliokutana nao walitokea nchi gani?
 
Mimi nilishawahi kuanguka dhambini na demu mmoja wa kizungu kutoka Uholanzi nikiwa Majuu, lakini hakuwa akinuka ngozi. Au hao uliokutana nao walitokea nchi gani?

hata sikujua mie nilipomaliza kuwahudumia sikutaka kujua chochote juu yao, may be wanatofautiana
 
Napenda tu unambie, Dubai International Airport kama ulikaa masaa ya kutosha kuzunguka ulijisikiaje??
Ile sehemu bna inafanya uione tanzania kama takataka tena za choo kabisa... waarabu wamejenga si utani, unatoka transfers section kwenda kupiga msoc McD hadi upande train, uvuke waterfalls, uvuke hotels, shops zinang'aa nyingine saa za dhahabu, magari, ati ndani ya jengo moja.. dhambi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…