Politicians wanasahau sana kua voters ndio chanzo cha mafanikio yao...
Sidhani kama wanasahau. Tatizo ni kwamba voters wanakubali kununuliwa. Kwa hiyo at the end of the day wanajua wamefika pale walipo kwa fedha yao. In short wananunua nafasi zao kwa hiyo mwisho wa siku hakuna anayeweza kuwalalamikia baada ya kupokea fedha yao.
Na voters wanasahau kuwa flana, vitenge na kofia sio kila kitu katika maishaPoliticians wanasahau sana kua voters ndio chanzo cha mafanikio yao...
dah yaani dogo kajikunyata mpaka huruma.
yeah anatia huruma haswaa
Basi kama hawasahu wanadharau tu.....kwa kila voter ambae anapiga kura just bcoz amepewa kitu fulani kiasi haya yamkuteee..kuna wamama wao wanadanganyika eti kwa kupewa vitenge tu......then wanawapigia kura..