ndizi awakoromea wenzake!!

Matunda yalikuwa yakiongea kwenye miti yake!
Chungwa akasema,'mimi naona nafanana
na jua',
Apple akasema 'mimi nafanana na moyo',
Ndizi akasema 'jamani hebu badilisheni story'

Anafanan na Abdala Kichwa wazi!!!
 
Bujibuji atakuwa anafahamu ndizi kafanana na nani.Namsubiri atuambie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…