Ni mwaka na miezi kazaa serikali imegoma kutoa ajira kwa vijana wa kitanzani.
Ni bora serikali hii ya watukufu wa Mungu ikaweka wazi kuhusu ajira kama zipo au hazipo, haiwezekani kama walimu wanakutana wa mwaka 2015 na wengine 2016 na wauguzi, afisa kilimo , madaktali,wahasibu, HR, afisa biashara, engineer, wako wengi tu.
Mwisho kabisa vijana wenzangu nchi hii tunaambiwa ilipinda mwenye nyumba inainyosha, basi na sisi tuachane kabisa na kusubili hizi ajira tunapotezewa mda wetu mwingi kwa siasa za uongo uliyebahatika kujishikiza sehemu komaa, kama bado huna kisehemu cha kuwajibika weka elimu yako pembeni jitoe muhanga kwa kufanya shughuli yeyote ile ipo siku Mungu atajibu maombi yako.
Vijana kumbukeni kauli hizi
1. Tetemekeni wenyewe
2. Serikaki haina shamba
3. Mwafaaa
4. Asiyefanya kazi na asile
5. Kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe
6. Mtaishi kama mashetani
7. Hakuna ukame wala njaa.