Ndiyo kateuliwa lakini hapendwi na wengi

Umeongea ukweli kabisa mkuu. Mwigulu ni jitu la ovyo sana kulipa wizara makini kama wizara ya fedha.
 
Ka "Aidii" kamoja kanafungua uzi halafu tu-"Aidii" pacha twingine tunakuja kusapoti

Niseme tu Mwigulu alipokuwa wizara ya mambo ya ndani alifanya vizuri sana
 
Mwinguli ingefaa aende wizara ya ujenzi awe anashika lile kopo la colour spray ili awe anapiga "X" nyumba zilizo kwenye road reserves, ana uzoefu huko kutoka kule Jamhuri ya social media.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…