Ndiyo basi tena ulimwengu wa fialmu, kwisha habari yake!

Sawa bro jiandae kupokea Dead pool 3
Tafuta muda wako uangalie Seen za Deadpool anazotumia Risasi au jipe muda uangali physical fight za Captain America na Winter Soldier pata muda angalia Storyline ya Avenger Infinity na Endgame. Pia jipe muda kuangalia Content za kisayansi Katika movie hizo kama AI Space Exprolation
 
Zote nimezi check mzee baba.
 
hakuna fans wa Movie humu nyie ndio mulikuwa angaliangalia bila akili milijawa na utoto

Zamani ujinga ulikuwa mwingi sana ilichagizwa na kuwa hata waangalia movie wajapevuka akili kuijua Dunia wewe Dragon nini sijui unawezaje kuifananisha na MI GHOST PROTOCOL' MI FALLOUT' Olimpus Has Fallen'

13 Hour agent of Beighaz unafananishaje na Maveti

Prison Break' MH nk unafananishaje na upuuzi wa American Ninja

Nina wasiwasi na IQ yako
Movies ulizo mention ni za kibabe 💪
 
nimetoka kuingalia filamu ya 'Dragons Forever' ya kina Jackie Chan, Sammo Hung na Yuen Biao hivi punde kupitia Rembo tv. dah, nimekumbuka mbali sana........ucheshi, uchangamfu na uhalisia uliopo humo ukanikumbusha na filamu zingine nyingi za namna hiyo za miaka ya 90 zilizojaa raha na burudani tele.

mawazo yakanileta mpaka kwenye filamu za sasa ambazo zimejaa 'usayansi' mwingi hadi kero...........

jamani, hivi raha ile ya filamu itarudi kweli au ndo basi tena dunia imeshajiendea zake?!!!!

napata tabu sana!!!!!
Kuna movie zamani tulikuwa tunaiita "NTEZE DRAGONI" aka Enter The Dragon Bruce Lee na Jimkeli ya mwaka 1973.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom