SautiYaMnyonge
JF-Expert Member
- May 13, 2018
- 439
- 742
Wamepambana kutafuta fedha Januari mpaka Disemba na wakaweka akiba kwa ajili ya kufurahia sherehe ya krismas na mwaka mpya ila hivi ndivyo ilivyokuwa.... Unywaji pombe wa namna hii ni starehe au mateso?
#KwaRahaZao #TumiaPesaIkuzoee
#KwaRahaZao #TumiaPesaIkuzoee