Ndivyo tulivyo

Dawa na na juice na biscuit nyingi kwani unafungua duka au pharmacy mhh mtoto wa kichagga kwa pesa mwambie baba yako utafiti akufungulie account watu wawe wanatuma huko moja kwa moja

ukitaka niwe adui na baba yangu .. tuchanganye kwenye pesa itakuwa ugomvi... nitakupa account namba yangu uwe unatuma huko huko.... undugu na pesa haupo Mr Rocky jamani kwani uelewi
 
miss chagga nishakuelewa muda mrefu sana. Siwezi kuchanganya na ya baba utafiti maana najua na yeye anapenda pesa balaa. Wewe ni za kwako kama wewe na hauna ushirika
Love you sana miss chagga na hii ni true love
 
Last edited by a moderator:
alisahahu kuniletea dawa sasa nataka hela ya dawa na maji na biscuit lakini hela nyingi ili niweze nunua nyingi

mi nitakuletea zaidi ya vingi kuanzia matunda juice,maji biscuit,dawa mpk maji na glass yake yaani kwa kifupi sitoacha kitu so swala kurudisha mwili wako/afya hilo niache mimi usiwe na shida nalo
 
i hate u sana Mndengereko na sitaki na ukija kumsalimia baba nakuchokoza ukianza ugomvi nakuchukulia hela afu nakwambia afu nakimbilia chumbani afu ukija nasema unanibaka
mgonjwa mbishi kama nini?/,mgonjwa gani una nguvu za kubishana na watu wenye afya zetu,baba yako mwenyewe inawezekana ashakuchoka hata nikija kukubaka anaweza asiwe na neno lol.
 
mgonjwa mbishi kama nini?/,mgonjwa gani una nguvu za kubishana na watu wenye afya zetu,baba yako mwenyewe inawezekana ashakuchoka hata nikija kukubaka anaweza asiwe na neno lol.

wewe mwone baba yangu hajanichoka ananipenda sana.. nakuchukia wewe sana
 
hahahah iwew huwezi kunichukia hata unichukie vipi nikija na hela lazima unipende

ndo ulete hela basi hapo umeongea vizuri.. loh hivi umekula nini mchana leo? duh hapo kweli umenifurahisha ukija na hela aku mie mtoto wa watu nakupenda bila hiyana
 
ndo ulete hela basi hapo umeongea vizuri.. loh hivi umekula nini mchana leo? duh hapo kweli umenifurahisha ukija na hela aku mie mtoto wa watu nakupenda bila hiyana
ndo maana naendelea kudunduliza kwenye kibubu ili nikija nikupate kiulaini siwezi kuja kwa baba yako nina sh 200,000 tu mfukonilol!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…