Mndengereko kija pande hizi miss chagga anataka mshiko hataki matunda na vijuice vyako miss chagga tuma no yako ya mpesa chap chap tuwekemo vidolari vya kutosha kukuponyesha
Khantwe hujui simu ikivibrate kwa dollar hata kama ulikuwa unaumwa unapona ghafla maana unajua hapo una pesa ya kunywa supu na kugonga nyama nzuri nzuriDuuh vidolari vinaponyesha kumbe?
Kwa hiyo ina maana Excel na mke wake miss neddy wote wameajiriwa na mhindi
Sipati picha Excel katumwa na mhindi wake sokoni na huku miss neddy nae katumwa na mhindi wake sokoni wanakutana kwenye kuchagua nyanya ni balaa
Hahhaha miss neddy pia yupo huko
miss neddy bado nasaga lami bana na bahasha hali mbaya sanahahahahahahaha Mr Rocky hivi bado unasaga lami na bahasha eeeh
hahahaha kwa muhindi vipi uko tayari nikuunganishie
hahahaha kwa muhindi vipi uko tayari nikuunganishie
Excel yupo busy ngoja niongee nae akubadilishie viatu lol
miss neddy aise niko tayari niunganishe kwa mhindi bana ila asiwe wa peleka toto shule, ipa toto uji au peleka mama sokoni
Mwambie aache zake bana nini anajificha hivyo hata kama yuko busy mbaya
hahahaha kazi unataka na masharti juu
Excel yupooo ubavuni hapa ngoja jua lichomoze atakuja tu
Mndengereko kija pande hizi miss chagga anataka mshiko hataki matunda na vijuice vyako miss chagga tuma no yako ya mpesa chap chap tuwekemo vidolari vya kutosha kukuponyesha
Mhhh ubavuni muda huu wakati ni muda wa kuchacharika huu
Yeye anafanya kazi kwa mhindi gani amempa off ya kazini leo
Ahhh miss neddy unataka nifanye kazi ya kuvusha vitoto vya kihindi barabarani aise kuvipeleka shule au nikutane na wewe kariakoo nachagua nyanya
Mndengereko anayo nishamtumia hebu mtafute kwa kilongalongfa chakenataka hela yangu mimi now
hahahahaha kusaga lami na kupata angalau nusu mkate bora nini
faini yako wewe na Mr Rocky mnitumie laki 3 kila mmoja ndo nitawasamehe
sitaki mimi now nipe hela
huyu mgonjwa anaeependa hela sana kuliko kujali afya yake ka kweli atanishinda hwcome namletea juice na matunda aone havina thamani aweke pesa mbele??Mndengereko kija pande hizi miss chagga anataka mshiko hataki matunda na vijuice vyako miss chagga tuma no yako ya mpesa chap chap tuwekemo vidolari vya kutosha kukuponyesha
huyu mgonjwa anaeependa hela sana kuliko kujali afya yake ka kweli atanishinda hwcome namletea juice na matunda aone havina thamani aweke pesa mbele??
huyu mgonjwa anaeependa hela sana kuliko kujali afya yake ka kweli atanishinda hwcome namletea juice na matunda aone havina thamani aweke pesa mbele??
Balaa mkuu. Mgonjwa anapenda pesa kuliko dawa na juice aise. Huyu no mchagga kweli halazi pesa nje bana
Mkuu Mndengereko uko salama wewe usipotee kama Excel na Tized na utafiti
alisahahu kuniletea dawa sasa nataka hela ya dawa na maji na biscuit lakini hela nyingi ili niweze nunua nyingi
Balaa mkuu. Mgonjwa anapenda pesa kuliko dawa na juice aise. Huyu no mchagga kweli halazi pesa nje bana
Mkuu Mndengereko uko salama wewe usipotee kama Excel na Tized na utafiti
"When you are in Love you can't fall asleep because reality is better than your dreams" mimi hunipendi kwa sababu huwa unalala sana