Ndivyo tulivyo


U made my day lol
 
Last edited by a moderator:
Kusema ukweli mm hii picha sijaielewa
 
utafiti shikamooo dady mzuri ..... Mr Rocky nakupiga kibuti nimeumwa wiki nzima hta kadi ujnitumia nakuacha mbele ya baba sitaki wanaume wabahili hata maua hawawezi kutuma

Mhhh pole sana miss chagga. Nilikuwa naibia mtandaoni muulize hata utafiti. Nilikuwa napita kwa kuibia ndo maana hata siredi sijaiona. Halafu utafiti mbaya hata kuniambia kuwa unaumwa aise. Baba gani huyo ambae hajali aise.
 
Last edited by a moderator:
ajabu zaidi yote anakwambaia ata the same time utafiti tawaza toto,mara utafiti leta kachori tano hapa hujamalia kumpelkea utafiti lete na soda baridi hapa haahahah
 
Last edited by a moderator:
utafiti shikamooo dady mzuri ..... Mr Rocky nakupiga kibuti nimeumwa wiki nzima hta kadi ujnitumia nakuacha mbele ya baba sitaki wanaume wabahili hata maua hawawezi kutuma
mh naonaje aibu sasa though dongo hilo sijapigwa mimi ila tafadhwali miss chagga pokea my late ugua pole kama ushapoa basi kula matunda murua haya hapa chini na juice niliyokuandalia kurudisha mwili wako



pia chagua juice gani inayokufaa hapo then jisivie tafadhali
 
Last edited by a moderator:
ajabu zaidi yote anakwambaia ata the same time utafiti tawaza toto,mara utafiti leta kachori tano hapa hujamalia kumpelkea utafiti lete na soda baridi hapa haahahah

Na hapo umeajiriwa kama mhasibu sasa kazi ya kutawaza toto au kulera kachori na kupeleja toto shule sijui inatoka wapi
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Khantwe salama mkuu. Hahahah hizo ndo ajira kwa wahindi bana na ukikataa huna kazi

Af nasikia hawanaga mpango wa kukariri jina la mtu ye anakubandika analoona rahisi kwake kutamka. Kama unaitwa Shadeack ni hukohuko kwenu ye atakuita juma tu au Shaban
 
Last edited by a moderator:
faini yako wewe na Mr Rocky mnitumie laki 3 kila mmoja ndo nitawasamehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…