Ndivyo tulivyo

Kuajiriwa na muhindi kuna shida yake kaka


Mi huo utani sipo kabisa unataka kuniambia Tized na Mndengereko wameajiriwa na mhindi
Na wale hawana dogo unaweza shangaa unaanbiwa Mndengereko kuja peleka toto shule au kuja tawadha toto au kuja mpa uji toto au kuja nenda nunua vitu sokoni wkati umeajiriwa kama mhasibu
 
Last edited by a moderator:

Hahaaha kama unawaona mkuu, mara unaambiwa uingie jikoni upike pilipili
 
Last edited by a moderator:
Hahaaha kama unawaona mkuu, mara unaambiwa uingie jikoni upike pilipili


Mara kuja peleka mama salon mara kuja peleka toto shule mzee mzima unavuka barabara na kitoto cha kihindi unakipeleka shule watu wanajua kabisa huyo sio wako kabisa Mndengereko na Tized njooni mjibu tuhuma huku za utafiti
 
Last edited by a moderator:
Hiyo stail imenikumbusha mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…