Ndivyo nilivyo .... Niko hivo....

Si wanaume wote tunapenda hayo...ila nakuhurumia umetafuta bifu na wenzio...huko ndio kujiamini sasa!

Heeeeh!!! hivo nimetafuta bifu bila kujua.... makubwa haya....
 
weee Vale mbona leo umekuwa mpambe hivyo? hahahaaa leo sina uchokozi na Nyani mwache ajilie mahindi na ndizi mbivu zake tulii
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji205] [emoji205] [emoji205]
 
weee Vale mbona leo umekuwa mpambe hivyo? hahahaaa leo sina uchokozi na Nyani mwache ajilie mahindi na ndizi mbivu zake tulii
Ha haa halafu sikuhizi naskia NN ameokoka eti... Ooh Bwana ni mwema hakika
 
Baada ya maelezo marefu, nafurahi umepona huko ndani na cheko juu
 
binafsi nywele za bandia zimenishinda.
usipoweka wanasema siku hizi fulani hajipendi, anashindwa kushonea japo weaving la jojo!
hahaaa.. ukiishi upendavyo katu hutosumbuka na fasheni.
 
binafsi nywele za bandia zimenishinda.
usipoweka wanasema siku hizi fulani hajipendi, anashindwa kushonea japo weaving la jojo!
hahaaa.. ukiishi upendavyo katu hutosumbuka na fasheni.
Umeona eeh .....
 
Confidence mama unayo. Thats what all these pther women lack. Wigs, fake nails, lashes, butts, boobs so forth isnt fashion ni mgongo wa kutaka wawezw kujiamini.

Kuna siku nilikuwa naenda kazini asubuhi tuu kutoka kwenye parking hadi ofisini unatembea hatua kadhaa nikakutana na mschana nae anaelekea kazini alikuwa mbele yangu. Kavaa sketi ambayo kwa mimi ile nguo ningeivaa kwenye party za usiku au disco maana ilikuwa urefu wake hadi chini ya goti kidogo ila kitambaa ni kilaini mnoo kile kinachoonesha ndani. Ila ndani kuna kitambaa kidumu ila kifupi hadi mapajani tuu au chini ya makalio.

Kilichonifanya nione hiyo nguo ni ya disco bidada alikuwa kila akipiga hatua anavuta kile kitambaa cha ndani kishuke chini kuonesha kwamba anakereka na kitambaa kile cha ndani kupanda juu. Swali kama nguo inakukera kwanini uivae kwenye hadhira?
 
As if alilazimishwa kuivaa. Mtu unakuwa unconfortable kwa outfit uliyochagua mwenyewe kwenye wardrobe out of plenty other options. Very funny
 
binafsi nywele za bandia zimenishinda.
usipoweka wanasema siku hizi fulani hajipendi, anashindwa kushonea japo weaving la jojo!
hahaaa.. ukiishi upendavyo katu hutosumbuka na fasheni.
Kwa hiyo Hornet we na kipilipili chako..teh teh! Afu ujuwe wengine wakati wa kunjunjana tunapenda kuchezea nywele, sasa ukikutana na msuko au sijui mnaita weave limekaa mwezi hiyo harufu hata mzuka unaondoka ghafla..lol
 
hapana sina kipilipili nina kaupara fulani hivi..
sasa ukiwa unapenda kuchezea nywele kwangu utachezea upara. hahaaa
Kwa hiyo Hornet we na kipilipili chako..teh teh! Afu ujuwe wengine wakati wa kunjunjana tunapenda kuchezea nywele, sasa ukikutana na msuko au sijui mnaita weave limekaa mwezi hiyo harufu hata mzuka unaondoka ghafla..lol
 
Umejuaje... boga lilivyo zuri hivyo hehehehe kwa kizungu si ndo wanaita pumpkin or butter squash....? Heheheh maskini hata hujui kufananisha vizuri na vibaya looh hahahaha.
mh...ona unavyonijibu kishangingi...yaani ww uchi ndo mtaji c bure
 
Haaa haaa owo waitu
 
kasie natamani uwe mke wa ndoto yangu,sifa zote ninazozipenda unazo,huwenda imepangwa tukutane JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…