Ndivyo nilivyo .... Niko hivo....

Duu!!inalekea una msimamo kama mimi!!kwa hiyovsasa hatma yako ni nini mbeleni!!vipi ulishazaaga!!

Hatma itakuwa hivyo hivyo kama nilivyo sasa. ........ hapana niko me myself and I hivi hivi.
 
Wewe unaweza badili taifa hili likawa tajiri duniani,ila wenzio hawatokuelewa! wangejua wanaume wanaojielewa wanachopenda hata saloon wasingelienda...
 
Wewe unaweza badili taifa hili likawa tajiri duniani,ila wenzio hawatokuelewa! wangejua wanaume wanaojielewa wanachopenda hata saloon wasingelienda...

Hadi hapa nshanuniwa na kuchukiwa looh, maana mie sikusema wote wawe kama Kasie hawakunielewa, nimesema vile nilivyo na niko hivi tangu zamani. Nimeelezea hivi kwakuwa jana kuna dada alinikera, sasa watu wanafikiri mie nimesema wadada wote wawe kama Kasie.

Ndo hivyo kila mtu na lwake waswahili wanasema kipenda roho....

Ila saa ingine wanaume wanafiki sana, unakuta wanasifia kitu ambacho hawakipendi ili tuu wapate mbunye hehehehe
 
Si wanaume wote tunapenda hayo...ila nakuhurumia umetafuta bifu na wenzio...huko ndio kujiamini sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…