Ndivyo itakavyokua..!

yeye mangi alikuwa upande gani?

Mara Mungu akamwambia ze mangi, hebu geuka kule unaitaje majina huku umenigeukia. Mara mangi alipogeuka mbele akawa amewapeleka wapendwa wake kushoto. Na mungu akamwambia, wafuate walio wako
 
mkuu wa kaya bhana hakuna kujadili hata yeye anajua akija tu anapata makofi kadhaa alafu mwenyewe bila kuambiwa anajinyookea kiulaiiiiniiii pande za kushoto

Hakuna ubishi,mzeya! hapo umenena.
 
Mara Mungu akamwambia ze mangi, hebu geuka kule unaitaje majina huku umenigeukia. Mara mangi alipogeuka mbele akawa amewapeleka wapendwa wake kushoto. Na mungu akamwambia, wafuate walio wako

hahahahahahaha....umenichekesha sana,hapo natakiwa niwe makini sana sku hiyo
 
hao machangudoa wapige kati tu chalii angu
 
kweli jombaa,hawa watawekwa kati hahahahahahaha....

ukiwatia kushoto au kulia watashangaa sana maana matendo yao hayaruhusu kutiwa kushoto wala kulia labda uwatie mbele yako au uwatie nyuma mpaka umalize watu wote ndio uwarudie uwatie kushoto na wengine kulia
 
hahahahahaha...umenichekesha,ila lugha uliyotumia.....mh na wewe kushotoo
 
Na nyie wote mlioleta utani kwa Mwenyezi Mungu ktk siredi hii kushoto!
 
balloteli...kushoto(afu atasema WHY ALWAYS ME!)
wayne rooney...kulia
 
MMU Wote kushoto
CHIT CHAT wote kulia
SIASA kushoto..
Invisible wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…