Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,305
Nilianza kubandika matangazo ya msako mtaani ujueHata mimi......mno.......Long time sana........
Cc valentina
Nilianza kubandika matangazo ya msako mtaani ujueHata mimi......mno.......Long time sana........
Unatakaje?Ulishamuona?
Nilianza kubandika matangazo ya msako mtaani ujue
Cc valentina
Alii riii rriiii liiiiiii.........Haleluyaaa haleluyaaaa.........uje kula ugali mnafu na kuku......maziwa mgando glass moja......
Jamani Preta!!! Naja funguaLakini ujue hunitendei haki.....unajua kabisa umefanya mabadiliko ya ID........nifanyie wepesi basi hata pm niweze kubaini........
Alii riii rriiii liiiiiii.........
Nikifika Florida nitaomba mwongozo wa ramani.
Salaam kwa Lily Flower!
Jamaa wa type hii wamewekewa thread yao atiLakini ujue hunitendei haki.....unajua kabisa umefanya mabadiliko ya ID........nifanyie wepesi basi hata pm niweze kubaini........
Afanyeje mkuu?Jamani Preta!!! Naja fungua
Nimeshamaliza steps zote mkuu, ipo nyingine????Afanyeje mkuu?
Cheza kwa step
(...... ipo kwenye mabano......)Nimeshamaliza steps zote mkuu, ipo nyingine????
AmeniNa utende kama unenavyo........
Amen....
Afanyeje mkuu?
Cheza kwa step
Tumetoka mbali......Ha ha......napenda unavyonilinda na kunijali......
Please replace the word "us" with "me".Nothing you wrote
There is no any facts that you have shown to us so as to convince us that there is existence of God.