ndivo nilivyo au?

ndivo nilivyo au?

jinaless

Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
43
Reaction score
4
habari wana jf....natumaini mu wazima na weekend mmeianza vema.
naombeni michango yenu ya dhati ili niweze kubadilika, mimi huwa nashindwa kujielewa nina matatizo gani nimekuwa na kitabia cha uoga uoga kiasi kwamba siwezi kukaa sehemu yenye watu wengi na nikikaa sehemu hiyo basi ujue sitaongea neno nitakaa kimya tu mpaka watu huniona siko social,ila nikikaa na mtu mmoja niwe nimemzoea au sijamzoea tutaongea vizuri tu.
kingine huwa nahisi kama akili yangu inastuck haifunction tena kama zamani i fail to understand my self kwa kweli your help please.
 
hujamalizia ww ni mwanachuo au unafanya kazi....!!!!!
tatizo la kukaa kimya huwa ni kwa wagen tu au hadi kwa uliwazoea!!!!
na kustack kwa brain is not an issue kuna wakat kichwa kinakuwa overloaded so kinachanganya mafile.,...!!!!!
kawaida tu....!!!!
 
nashukuru kwa ushauri wako....mimi nafanya kaz.
naweza nikawa kimya hata kwa niliowazoea.
 
Vipi una mupenz, tabia hii huwatokea sana watu wanaojiita hardcore au wagumu ambao hukimbia watu na kujifanya wanajua kila kitu, au watu ambao hawana au hawako katika mahusiano ya mapenz na hawana marafiki, jichanganye kijiweni na washikaji, au marafiki na pia toka mara nyingi kwenye viwanja vya mipira au michezo au toka na mpenz wako kapate shangwe utakuwa poa, acha kujifungia utakuwa ndondocha
 
nashukuru kwa ushauri wako....mimi nafanya kaz.
naweza nikawa kimya hata kwa niliowazoea.

safi...!! tenga munda wa kurefresh mind usisahau mazoezi madogo madogo na kuhusu ukimya kawaida tu
coz "if you cant say anything pls dnt say at all"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom