Ndio tumesha anza shangwe za X MAS

hiyo kitu ikirostiwa halafu na ka bia au kakonyagi kwa pembeni,inanoga hadi kwenye kisigino,yaani we acha tu!
 
Weeee Koma kabisa. Heshimu Kitimoto wewe, unajua ni nini hiyo kitu? Hahahaaaaaaaa....

Ina maana jamaa waligeuka siku hiyo na kuwa kama RAMA MLA WATU......... mhhhhhh Sikonge Mla utamu

Siku nyingine fanya utani bana, na siyo UKWELI
Huyo mdudu kama vile wanafanana naye!
 
Teh teh teh

Weeee Koma kabisa. Heshimu Kitimoto wewe, unajua ni nini hiyo kitu? Hahahaaaaaaaa....

Ina maana jamaa waligeuka siku hiyo na kuwa kama RAMA MLA WATU......... mhhhhhh Sikonge Mla utamu

Siku nyingine fanya utani bana, na siyo UKWELI

Meseji delivadi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…