Ndio tumesha anza shangwe za X MAS

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,462
154,335
1454836_569635299778468_732542779_n.jpg
 
hiyo kitu ikirostiwa halafu na ka bia au kakonyagi kwa pembeni,inanoga hadi kwenye kisigino,yaani we acha tu!
 
Weeee Koma kabisa. Heshimu Kitimoto wewe, unajua ni nini hiyo kitu? Hahahaaaaaaaa....

Ina maana jamaa waligeuka siku hiyo na kuwa kama RAMA MLA WATU......... mhhhhhh Sikonge Mla utamu :)

Siku nyingine fanya utani bana, na siyo UKWELI :)
Huyo mdudu kama vile wanafanana naye!
 
Teh teh teh

Weeee Koma kabisa. Heshimu Kitimoto wewe, unajua ni nini hiyo kitu? Hahahaaaaaaaa....

Ina maana jamaa waligeuka siku hiyo na kuwa kama RAMA MLA WATU......... mhhhhhh Sikonge Mla utamu :)

Siku nyingine fanya utani bana, na siyo UKWELI :)

Meseji delivadi!
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom