Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,834
- 155,782
Yeah, nao wakilala ubavu ubavu wataonekana kama vile wadogo zake!Huyo mdudu kama vile wanafanana naye!
Yeah, nao wakilala ubavu ubavu wataonekana kama vile wadogo zake!
Huyo mdudu kama vile wanafanana naye!
Ni mara yangu ya kwanza kumwona kiti moto mweusi.
Yeah, nao wakilala ubavu ubavu wataonekana kama vile wadogo zake!
Huyo mdudu kama vile wanafanana naye!
Huyo mdudu kama vile wanafanana naye!
Weeee Koma kabisa. Heshimu Kitimoto wewe, unajua ni nini hiyo kitu? Hahahaaaaaaaa....
Ina maana jamaa waligeuka siku hiyo na kuwa kama RAMA MLA WATU......... mhhhhhh Sikonge Mla utamu
Siku nyingine fanya utani bana, na siyo UKWELI
Huyo mdudu kama vile wanafanana naye!