Prisoner of hope
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 2,443
- 2,567
- Thread starter
- #61
Waache waendelee kujidanganya!
Tanzania ya leo, sio hile ya kipindi kile....
Tanzania ya leo, sio hile ya kipindi kile....
Mkate wa kila siku umekuwa mgumu,watu wamepoteza tumaini la kwenda kukaa wanajiandikisha.
Watangaze kujiandikisha sh 5,000 kwa kila kijana uone kazi..Mfano bodaboda,dereva bajaji na daladala ataachaje kazi akajiandikishe,mama ntile,vijana wasio na ajira..tangaza mkwanja uone..Kazi ya pesa ni mzunguko..