Ninasubiri Kwa hamu tarehe hiyo.. Nina wasiwasi watumishi watalazimishwa kuandika jina lake na kituo cha kazi kabla ya kupiga kura..Natumai baadae litatoka tamko la kwataka wale wote walojiandikisha wakapige kura la sivyo hatuakali za kisheria zitafuata
Hao walimu wamewakandamiza miaka 4 bila kuwapa ongezeko la mshahara Wala haki za kupanda madaraja na malipo mengine mengi.
Nimepata taarifa Kuna mkoa et walimu wanaochaguliwa kwenda kusimamia form four mitihani ya taifa Ni wale wenye kadi za chama cha mapinduzi na wale ambao walichangia mwenge.
Haya ni maajabu ya milenia haki ya Mungu!!! Taifa limeoza na kufa kabisa.
I enjoy..!Watanzania hatutaki.Endeleeni kujiandikisha na kujichagua jamani ninyi ccm
Ninasubiri Kwa hamu tarehe hiyo.. Nina wasiwasi watumishi watalazimishwa kuandika jina lake na kituo cha kazi kabla ya kupiga kura..
Tusubiri.
Ila cha moto wanakiona.
Sasa kama kiti cha DED, kinatafunwa!Hao walimu wamewakandamiza miaka 4 bila kuwapa ongezeko la mshahara Wala haki za kupanda madaraja na malipo mengine mengi.
Nimepata taarifa Kuna mkoa et walimu wanaochaguliwa kwenda kusimamia form four mitihani ya taifa Ni wale wenye kadi za chama cha mapinduzi na wale ambao walichangia mwenge.
Haya ni maajabu ya milenia haki ya Mungu!!! Taifa limeoza na kufa kabisa.
Ndugu yangu ameenda kujiandikisha akaulizwa unakadi ya chama cha CCM akajib alipoteza akaambia aandike majina yake then ataitwa kwenda kuchukua iyo kadi
Nyerere angefufukaa na kuhudhuria mbio za mwenge huko lindi, meko angetandikwa bakora za kutosha na kupelekwa segerea..
Zege halilali
Naona tumeanza kuongea lugha 1 sasa....yajayo yanafurahisha. Hii ndio tanzania mpya ya watanzania wanaojielewa na hawako tayari kuburuzwa tena.
Kweli kabisa kakaKwenye hili umma unapaswa kusimamia ukweli, tukichagua kuwaogopa, wanasiasa wataendelea kutuburuza maisha yetu yote. Msimamo ni kuwa hatupigi kura na sababu za msingi tunazo na mifano halisi tunayo. Tutakuwa taifa la ajabu iwapo tutendelewa kutiwa vidole vya macho na bado tuwaogope wahuni eti kisa wana madaraka.
Hapo walipo hii hali ya kususia kupiga kura imewatisha, ni juu yetu kutumia njia hii ya amani kuleta mabadiliko tunayoyataka bila kutegemea mwanasiasa yoyote, kwani wao inaonekana wameshindwa. Hatuna tume huru ya uchaguzi, hatuna katiba mpya na hela zimeshaliwa kwenye mchakato, kisha mwanasiasa mmoja anasema hataki katiba mpya na bado tunaendelea kushiriki chaguz za dhuluma, kama sio wendawazimu huo ni nini?
Well said chief.Kulazimisha wananchi kupiga kura ni kuwavunjia haki zao za msingi za kikatiba.
Kama ilivyo kuwa, kuwalazimisha wananchi wasipige kura ni kuwavunjia haki zao za msingi za kikatiba.
Katiba inatoa uhuru wa kujieleza. Kuamua kupiga au kutopiga kura ni aina ya kujieleza.
Kutopiga kura ni aina ya kupiga kura. Ni kupiga kura ya kutokuwa na imani na mfumo wa uchaguzi.
Kwa hiyo, ukilazimisha watu wapige kura, umewalazimisha wasipige ile kura yao ya kutokuwa na imani na mfumo mzima wa uchaguzi, kwa kutopiga kura.
Kulazimisha watu wapige kura kunaingukia uhuru wa kikatiba wa kuchagua uongozi. Pia, kulazimisha huku kunaingilia uhuru wa wananchi wa kujieleza.
Kulazimisha huku kunavunja haki za kikatiba za Watanzania.
Ninachojiuliza mimi ni "Kwa nini walimu".
Yaani katika wafanyakazi wote wa serikali, wanaolazimishwa ni walimu pekee kwa nini.
Walimu wamewakosea nini wenye nchi yao.