Ndio Tanzania tulipofikia Vijana wa Chadema wasema hili lisipochukuliwa hatua basi wao watalichukulia hatua stahiki kuwa mfano

Attachments

  • IMG-20181226-WA0000.jpg
    IMG-20181226-WA0000.jpg
    35.6 KB · Views: 19
Sijaelewa kitu hapo, hiyo chat ni ya kabla Mh.Lissu shambulizi!?
Nami bado nadadavua kwa sababu haina tarehe labda tufafanuliwe zaidi kilichojiri. Hili kundi la kaskazini ni nani hasa wana nafasi gani na au vyeo gani hadi waseme haya kwenye watsap. sheria ya makosa ya mtandao inawezaje kufanya kazi
 
Ndiyo mkuu

Mi nna masihara gani mkuu ...

Namjua salary slip ni mtu srrious lazima hao wapumbavu watolewe kwenye group mada za muhm ziendelee kujadiliwa

Mbona unakuwa high muda mfup hivyo ?!
tatizo siyo kutolewa kwenye hilo group la whatsaap Tatizo ni huyo mtu asipochukuliwa hatua stahiki na vyombo usika basi bavicha watachukua hatua zimfazo huyo mtu
 
Ila Hebu cdm toeni mfano wenu na nyie tuone utakuwaje, maana jamaa wametoa na wengi tumeulewa, hebu njooni mtoe na nyie kisha tulinganishe, nani yuko bora zaidi. Maana imeandikwa 'jino kwa jino'.
 
Ila Hebu cdm toeni mfano wenu na nyie tuone utakuwaje, maana jamaa wametoa na wengi tumeulewa, hebu njooni mtoe na nyie kisha tulinganishe, nani yuko bora zaidi. Maana imeandikwa 'jino kwa jino'.
nafikiri Umeona magereza wamejengewa CDM Tu
 
Back
Top Bottom