Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 12,966
- 39,971
Mambo๐
Mambo๐
Me nipo my friendPoa nimekumiss ๐
Hujanimiss ww?
Ni vizuri kusikia Hilo ๐ป .Me nipo my friend
I'd yako nyingine Ni ipi?Ni vizuri kusikia Hilo ๐ป .
Siri yangu hiyo ๐คฃI'd yako nyingine Ni ipi?
Niambie bhana๐๐Siri yangu hiyo ๐คฃ
mshamba_hachekwi anajua baadhi ila zingine ni private issues .
Ukinijua na hii TU inatosha my ๐
No ๐ซฃ๐ซฃNiambie bhana๐๐
Labda itakua ni hivyoHuenda ndo kitu anachokipenda mkuu๐๐
Mpaka hapo baasi nishakujua๐๐๐๐๐๐No ๐ซฃ๐ซฃ
Ndo hivyo kiongozi, kila mtu anawaza lakeLabda itakua ni hivyo
Kumbe ulinifananisha ๐คฃ aisee .Mpaka hapo baasi nishakujua๐๐๐๐๐๐
๐ Noma sana ngoja nipite kushuotoNdo hivyo kiongozi, kila mtu anawaza lake
Wewe unaongeaga lugha gani๐๐๐ Noma sana ngoja nipite kushuoto
Niambie kwanza na I'd yako ya3, Kuna nyingine nakufananisha nayo tena chatting zakoKumbe ulinifananisha ๐คฃ aisee .
Noma sana nataka penzi letu lirudi ubavu wangu ๐๐ค
Una chat na nani Tena .Niambie kwanza na I'd yako ya3, Kuna nyingine nakufananisha nayo tena chatting zako
Kiswehili kwani kunataotizo hapoWewe unaongeaga lugha gani๐๐
Karibu kilingeni kwa mr. MshanaWakuu mm mgeni kwene huu mtandao
Ndo nimejiunga leo jF
ushauri