na majibu yalikuwa hivi:Sijui jinsi ya kuweka poll hapa, hope mods will do the needful.
Naomba tu kujua wangapi humu kama wako kwenye ndoa na kwa umri wa ndoa zao wameshaengage in sexual activities na watu tofauti na wenza wao. (cheating). Na pia kwa wale ambao ni singles, wangapi wamesha cheat na waume au wake za watu? Kuweni free tu ili tujue statistics za hapa Tz kwenye hili swala, tusibishanie maneno. Kwa vile wengi sana wanasema its normal to cheat i hope hatutaogopa kuvote hapa.
Kwa mfano. kama wewe ni single sema "mimi ni single sijawahi au nimewahi kucheat na mke au mume wamtu"
kama wewe ni married sema ' Mimi ni married na nimesha wahi kucheat mara kadhaa"
Pia addition information unaweza kutueleza uliewahi kucheat naye ni same person au different people over a certain time, hata sababu zilizokupelekea kucheat pia would be appreciated. Je spouse wako alijua, aliwahi kuhisi au amelala usingizi wa pono, yani hajui kinachoendelea.
Tuwe wakweli basi. thanks.
Total percentage 127% Damn it!huyo jamaa kosa lake kubwa ni ENEO ALILOTUMIA KUCHITI....!adhawaiz chiiting is there na wana jf wenyewe wameuthibitishia uma:
HEBU TUJIKUMBUSHE KIDOGO:
Ulishawahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?
na majibu yalikuwa hivi:
- NDIO
81 63.78%
- HAPANA
46 36.22%
kwa msaada wa kisheria BONYEZA HAPA
noname, maisha hayawezi kuwa normal tena kwa huyu, wanaanza maisha mapya na anajifunza kuishi na cheater! namwonea huruma huyu wifi kajifunza maisha ya ndoa too late!
HAHAHAHA!Total percentage 125% Damn it!
Hiyo inamaanisha invizibo ni infidelator!!HAHAHAHA!
unajua nini.........
hizo za HAPANA HIZO zimefojiwa
Total percentage 125% Damn it!
mie kweli nimeona bora ajionee maisha kwenye mwanga bora.......ndo game linaanza sasa hko nyuma walikuwa wanacheza makidamakida na ndoa.
maskini pole yake, ila asipende sana kuusemea moyo wa mwenzie,jana asubuhi alikuwa analia anasema haamini kama mume wake alishindwa hata kutafuta mwanamke mwingine huko nje mpaka afanyie ndani, tena na ndugu yake""siamini kabisa kama (fulani)kanifanyia hivi...lakini ameteleza tu"...yaani analia na kujifariji mwenyewe.
mom kwa hiyo ukijua kuna kuchitiwa kwenye ndoa haitakuuma sana kama vile utavostukizwa tofauti na imani yako...??
hahahaha!teamo sijauona huo msaada wa kisheria kwenye hiyo link nimektana na confessions na denials tu
Yaani wewe kati ya wanawake naowakubali humu wewe ni namba 1. Unaujua ukweli na unausimamia. Mme wako ana bahati sana. leo ukirudi nyumbani mpigie makofi matatu. Mkilala mbarikiwe upate mimba ya mapacha. Sema AMINA.unanichekesha bwana!
ila mi kama nina bahati, mawifi zangu walinitia moyo sana enzi zile hata kunipa mfano even mom yalimkuta! maana mi atfirst niliona bora kuishi single ila nikafkr ina maana nimelost muda, huyu anamoyo ati anamkumbatia kwa kilio?!
HEHEHE!sasa hao asilimia 26.22 sijui niwaweke wapi....!i don't knw kwakweliKama kuna uwezo wa kuzipunguza lingekuwa jambo jema sana
tukianzia na kwako Asprin
63.78 % to 0% :A S tongue:
Infidelity 63.78% Hapo ntakuwa kama nimeacha ujue. Mimi infidelity ni 100% kwa maslahi ya ndoa yangu, afya yangu na mila zetu...:amen:Kama kuna uwezo wa kuzipunguza lingekuwa jambo jema sana
tukianzia na kwako Asprin
63.78 % to 0% :A S tongue:
maskini pole yake, ila asipende sana kuusemea moyo wa mwenzie,
kuchitiwa kwa namna yoyote kwenye ndoa kuna maumivu yake, ishu ya wifi hapa ni kwamba yeye alikuwa haamini/hakubaliani kuwa kuna cku mume atamchiti coz ni ameumbwa kwa ajili yake na yeye kwa ajili ya mr..hapo kuna utofauti kidogo na wa sie ambao mani zetu zilikuwa 40-100, na ukicheki eneo la tukio ndio kabisa mdada I.C.U ni lazima ingemuhusu.
unanichekesha bwana!
ila mi kama nina bahati, mawifi zangu walinitia moyo sana enzi zile hata kunipa mfano even mom yalimkuta! maana mi atfirst niliona bora kuishi single ila nikafkr ina maana nimelost muda, huyu anamoyo ati anamkumbatia kwa kilio?!
Total percentage 127% Damn it!
HAHAHAHA!
unajua nini.........
hizo za HAPANA HIZO zimefojiwa
Hiyo inamaanisha invizibo ni infidelator!!
mom kwa hiyo ukijua kuna kuchitiwa kwenye ndoa haitakuuma sana kama vile utavostukizwa tofauti na imani yako...??