Ha ha ha hommie hi inahitaji thread yake inayojitegemea!ha ha ha!
haya mom
idea yangu ni kwamba ni MIRADI YA HASARA!yani the women stuff,the marriages,and the whole contract ni HASARA TUPU!
yaani lazima uspend hela nyingi...!tena bora mkeo awe hana kazi au hana hela inakuwa hauweni lakini tofauti na hilo dah!
unajua kuna jamaaangu hapa kaoa machame yeye ni mtumishi wa serikali!kwa mwanamama hela ipo mingi sana,na yule mama ana hela kiaina!sasa jamaa anahaha kwel kwel anajitutumua kufika level fulani ili atizamike kwa mkewe
hivi tunavyoongea jamaa keshavuta gx100 kwa tabu,kufunga na shida zote na kampa waifu ake atembelee mafuta anajaza jamaa!hapa tunaumiza kichwa mafuta ya kumpa jamaa amjazie mkewe aende moshi...!
WHAT THE HELL IS THIS!
F-U-C-K!
samahani mie nauliza hii ndoa ndio kwishwa habari yake au itaendelea... ? manake naona hii ni too much mwanamke kawaona ivi ivi (ile picha haiwezi futika tena) .... yani hii ni tofauti na aliye cheat lakini hujamuona...
...ha haha, aisee unanivunja mbavu sana hapa. Ingawa umetaja mwanamke ni Mmachame na Mwanaume ni Ngosha, kuna wengine watasema kabila halihusu.
Anyway, kusema "wanaojua kupenda" ni wagonjwa wa akili si kigezo sahihi bana. Kupenda kupita kupindukia ndio Utaahira ninaouzungumzia mimi hapa, yaani unapenda mpaka ukiambiwa 'nyeupe ni nyeusi', nawe jinsi ulivyofanywa zezeta unakubali tu!
yaani hommie hapa mjini hapafai...!Ha ha ha hommie hi inahitaji thread yake inayojitegemea!
Ha ha ha hommie hi inahitaji thread yake inayojitegemea!
so kosa la huyu wifi ni kum surprise mumewe?
mi nalia na infidelator huyu!ananiangusha sana mwenyekiti wake kwanini aliamua kuchiti kaacha milango wazi?Mh... hivi hii thread inahusu nini vile??? chapa ilale au kanyaga twende?
khaa mwenye mume keshasamehe hata hajaombwa msamaha, ndoa inaendelea
anaogopa aibu huyo!rejea vyema majigambo yake kwa kumnukuu ''mrusha mada''ooow my goshhhhhh.... haaa? she might be feeling guilty or done something wrong...yani sipati picha..
khaa mwenye mume keshasamehe hata hajaombwa msamaha, ndoa inaendeleaooow my goshhhhhh.... haaa? she might be feeling guilty or done something wrong...yani sipati picha..
mi nalia na infidelator huyu!ananiangusha sana mwenyekiti wake kwanini aliamua kuchiti kaacha milango wazi?
sasa mbu nipe msimamo wako....!
KUPENDA KUPINDUKIA NI UTAAHIRA?
Nyamayao umenifanya nicheke pasipo kutekenywa... eti unaingia moyoni mwa mtoto wa mwanamke mwenzio mevaa kandambili??! Lol nimekumiss sisy.
Mh hivi bado wenye kuamini one to one relationship katika institution ya ndoa?
Masikini wifi pole mwaya umetukana mamba wakati bado hujavuka mto mpenzi?
HUyo si infidelator bwana... huyo ni infiltrator au trainee at most... MAANA AMESAHAU INVISIBLE MODE
waswahili wanasema u$inye unapolala
Mpenzi ah wala usiwe na shaka dia hii ni ngoma na utamu wa ngoma.............. so shaka ondoa huwezijua wawezabahatika ukaingia na mirindimo ya aina yake ya kipekee so ukawini but cha muhimu tu usijikamie kuwa mshindi weye!!mimi hapa mamii!!! kwani hakuna?? niambie kabisa mi nijue moja
Mpenzi ah wala usiwe na shaka dia hii ni ngoma na utamu wa ngoma.............. so shaka ondoa huwezijua wawezabahatika ukaingia na mirindimo ya aina yake ya kipekee so ukawini but cha muhimu tu usijikamie kuwa mshindi weye!![/QUOTE]
nikajikuta mwembe jini (kndoni makaburini bora mwenzangu ICU)
BTW: MISD U
anaogopa aibu huyo!rejea vyema majigambo yake kwa kumnukuu ''mrusha mada''
...bro kwa jinsi picha hii ilivyo, huyu bwa mkubwa anajiamini "anavyokula kwa urefu wa kamba yake!," wala hahitaji kujificha ficha tena.
No wonder majibu yake yamesimama vile vile kiasi kwamba Bi mkubwa karudisha majeshi na kuomba bora yaishe!