Ndio na ni Jeuri kweli kweli

Ndio na ni Jeuri kweli kweli

GeoMex

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
5,430
Reaction score
20,063
73252A33-E584-4F2B-84C8-71290AAD078E.jpeg


Mlizoea sana kututikisa😁😁
 
Hiyo corona yetu ya ajabu sana. Kila siku tunajichanganya maisha yanaenda. Ila inawataka wakenya tu!!

Eti jirani jeuri. Kama wewe jeuri lazima jirani awe jeuri. Nani umtawale kama mkeo.
 
Nimeona taarifa ya habari ITV wakenya wanakanusha kuwa hawajawazuia waTz kutua Kenya. Wanajikanyagakanyaga tu.
 
Waacheni tu wakae Karantini hao Kenya hadi watashika adabu tu!
 
huyo mshenzi kwanza hajui lugha ya kiswahili, tena mshenzi sana.
 
ila akili za kenya-ta 😆😆😆😆

eti anasubiri visa vifike 25000 ndo afungue shule na shughuli 😆😆😆

hata nashindwa kuwaelewa wakenya
 
Back
Top Bottom