Ndio mapenzi ya kisasa au ananipotezea muda?

Ndio mapenzi ya kisasa au ananipotezea muda?

dah hadi moyo umeniuma...mbona watu wanamioyo ya kikatili hivi?yani mwanamke kakubebea kiumbe chako miezi Tisa zawadi yake nikumkodishia gari lako(lenu) siku ya kujifungua???Mungu nisamehe lakini i rather stay alone than with an evil man like him.

Ishi uone mengi. Hivi unajua this 21st century kuna wana ndoa ambao hawalali kitanda kimoja and when the husby want the wifi anakuja kwa husby lakini atalazwa hapo sakafuni ati hafai kulala kitandani kwake husby? Sisi tunaotoa ushauri tunakutana na mengi. I always wonder, if I was that woman, nadhani ningeozea Segerea. Lakini bado anazaa naye tuuuu
 
Achana nae, hakuthamini huyooo.. Atakusumbua in future, he doesn't care, he is selfish and self centered!! no love at all. Break away........tupa kule.
 
good thing hamja fanya sex, ingekuumiza zaidi..so achana nae atakuliza saana huyo wewe.. mwanaume gani asiye jali kile akipendacho??
suala la kuingia na simu bafuni iz too much, that dude ni tapeli na muhuni ana wapenzi wengine.. tupa kulee and be strong ..
 
Dada haina hata haja ya kuendelea na mipango ya ndoa nakwambia utajuta huyo hajali we mwambie tuachane atakuruhusu tu
 
Back
Top Bottom