Salamu kwa wana jf wote!!
Leo nimekuja na hili,
Nina mpenzi wagu ambaye tumepanga kuoana ndani ya mwaka huu, jamani tunaishi kama kaka na dada, yaan hatufanyi mapenz, mpenz wangu yupo bize sana na kazi na biashara,
Hebu weka mambo wazi kwanza, ina maana hamjawahi kufanya tokea muwe pamoja? au mlikuwa mkifanya, kisha mwenzio akaanza kubadilika.
Weka mambo hadharani kwanza kisha nije na jibu
kufanya mapenzi kabla ya ndoa now days is very important, Mungu anisamehe
sasa kama mwanaume hakusaidii kwa lolote na wewe unahitaji msaada hata hela ya tax hakupi kwake unafuata nini?