Ndio maana wanaume siku hizi hawaoi...

silaha kuu ya mwanamke ni nyuchi, hana chengine, hana cha kuoffa zaidi ya lile buyu tamtam la asali
 
Kuna manzi tangu aingie home kwangu basi amegeuka kero, mimi ndo nimekuwa kikwazo kuhakikisha hahamii.
 
Naunga mkono hoja, ila uandishi wa mtoa mada ni wa kiume kabisaaaaaa
 
Hebu acheni tufaidi, mapenzi matamu ni haya nyie mnayaita uzinzi.
 
Kuna mrembo nikua namtaka ila analeta mapozi ya tuoane kwanza ndio tufanye nikasema poa nikajiweka kwake na msubili tukiwa tayari ndio tuoane nikajua ataachia basi ukapita mwaka anakaza tu nikaona isiwe tabu nikatafuta kitoto cha pembeni nikawa napiga ili nisubilie mrembo wangu wa ndoq atakapo kuwa tayari

Siku zinaenda nikaanza kumwelewa demu wa pembeni siku zinaenda nikaita watu nikapiga ndoa baada ya miaka kadhaaa tukaachana nikaona isiwe tabu nikarudi kwa mrembo wa mwanzo mana alikiwa bado single ile nimerudi tu nikapewa kitu moja kwa moja hadi leo napiga nasijaoa maana mipango bado haijakamilika ila ndio namiliki nasubiri akiwa tayari tutaona
 
Njoo tuchakatane tu mambo ya kuoana ni kuuza uhuru na kununua utumwa woooi
 
sikio la kifa tu
Mungu alisema usile tunda la mti wa kati katika bustani hamkusikia sembuse hawa we2 hawa
 
Kwa upande wangu kama mwanaume naamini wanaume waliokamilika wanaojielewa na wenye nia ya kufanya maisha ya ndoa huwa hatupendi chenga za kitoto na kuwekeana mitego isiyo na maana mwanzoni mwa mahusiano.

Umempenda mtu amekuapproach mpe nafasi muanze mahusiano. Pozi za nini....?!

Kwa upande wangu mwanamke ambaye nimemkubali na nipo tayari kuanza nae maisha hata kama sipo tayari kifedha kitendo cha yeye kuja speed na mimi itaniongezea speed ya kujenga nae maisha haraka zaidi. Sasa mtu unampenda kwann iwe kosa kumkubalia na kuwa nae karibu kwa haraka.

Shida ya watoto wa kike huwa mnatazama mtu ana nini sasa hapo ndipo wengi mnajirahisi na kwenda kwa kujipeleka, ila ambao wanawapenda kwa dhati huwa mnawaletea pozi.

Nadhani tamaa zenu ndio huwa ni chanzo cha matatizo yenu sio wanaume....
 
Siku hizi Kuna masupa women kibao


Ma.strong women
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…