Mi mchagga...ila najua kisukuma kuliko kichagga!!!! Sasa mimi nimuoe nani!!!
Usiwe na mpenzi wa kabila tofauti na lako....kama mmanyema banana na wamanyema wenzako sio unaenda kwa wachaga
Mi mchagga...ila najua kisukuma kuliko kichagga!!!! Sasa mimi nimuoe nani!!!
Kweli....watu watabisha na kukashfu lakini ukweli ndo huo. Kuna raha yake kuwa na mtu wa kabila lako...hata ukienda ukweni full kujichanganya na unajihisi wewe ni part ya familia haswaa... Unakuwa more comfortable.kama utakuwa na kabila tofauti hata ukipendwa vipi unakuwa km stranger fulani hivi...
me mswahili, kwetu ni uswahilini, na lugha yetu ni kiswahilikwani wewe kabila gani

Uongo....