Ndio maana mademu siku hizi tunawakopa kama Hadija

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,202
27,325
" Yooh nipo kanda maalumu/
Nakula Hapi kama Ali Salum/
Mjomba magu ameziba mirija/
Ndo maana siku hizi mademu tunawakopa kama Hadija /

Weka verse yako mkuu halafu mwisho wa siku tutengeneze track..


One two one two micro phone check ...
Twenzetu
 
" Yooh nipo kanda maalumu/
Nakula Hapi kama Ali Salum/
Mjomba magu ameziba mirija/
Ndo maana siku hizi mademu tunawakopa kama Hadija /

Weka verse yako mkuu halafu mwisho wa siku tutengeneze track..


One two one two micro phone check ...
Twenzetu
Kanda maalum, chakula ndumu
Maisha magumu, bila mfungo swaumu
Vizibo mirija vije, bado twatoka bomba
Kaa wakolomije, kwetu Magu mjomba
 
Nafanya harakati haramu/
Naingia vitani ka'wavietenamu /
Nawasaka hawa mafisadi wa kalamu/
Wanapumua nusu nusu kama wagonjwa wa Pumu/
Siwezi kuwastili,lazima niwafanyie ukafiri,
Nipo tayari kupata hasara,Kula mtaji wa biashara,

Uwoga ni uchoko,Kama Askari mnoko,
 
Ubeberu kafiri Africa yawekwa jehanamu/
Kama chonjo mzawa vitani uwe na hamu/
Hii ni vita ya fikra haihitaji panga mkononi/
Penda mema ya kwako usiuenzi ukoloni/
Kwa nguvu za hoja lazima tusonge/
Labda wasaliti wahongwe/
Tupo gado zaidi ya Nguvu kihongwe/
 
Natoa darasa huru/
Huhitaji kulipia ushuru/
Shukuru,kufuru banana haipo huru/

Niite king baga a.k.a Ant-Slevu/
Toa ukungu machoni kuwa mwelevu/
Kipi kinajiri ni mwanga au upotevu/
Mswahili shitka usingoje kofi la shavu/
Ubambikiwe kesi kisha ubakie fuvu/

By Alisina.
 
Nini kinasibu fisadi kuwa na haki/
Hakimu nipo hapa nisiyependa sawa haki/
Maskini kufa njaa Mimi mishikaki na keki/
Keki iliyoporwa kwa wanyonge/
Mnyonge mnyongeni kisha mtupeni songwe/

Shitka haki haipatikani kwa amani/
Shika mtutu ingia mstuni/
Pia nakupa dokezo/ usipende vya dezo/
Utaishia kufanywa mchezo/
 
SURA mbaya kufa sifi dokta remmy/
mafala wanagwaya kwa jinsi navofoka tenzi/
ha haaah nacheka kwa dharau/
life is'nt simple/
awamu hii mjomba magu/
amebana hadi mtonyo/
 
Kwa Taarifa Ntaendelea Kukaza, Mpaka Pale Ambapo Mtakuwa Mmepata Akili.

I Nchi Ilikuwa Kama Ya Vilaza, Watu Wanaendesha Nchi Kama Wako Upotevuni.

Oyo Oyo Oyo! Nmeishiwa Mistari Ntakuja Baadae
 
Back
Top Bottom