Kaka ahsante sana, iringa hiyooooo mwana, kuanzia indiuka, ipogolo, kibwawa, kitwilu, mseke, njia panda ya tosa Hadith tanangozi hiyo ndo ilikuwa asali yetu, ndoo nzima buku 2 hahaaaaa ku yaw sana kitete.
baba we hikitu umenikumbusha mbali kinoma inaitwa (ubhulasi)tulikuwa tunakunywa na viazi vitamu tulivyo choma kwa udongo yaani (kabhungila) basi kwenye hivyo vyakukingia(mbeta) huwa vinajaa hadi juu humo kunakuwa na ndege wamefia humo nzi,vipepeo,nyuki,vinyonga,basi sisi tunachuja kwa kutumia shati tulizo vaa,ndugu yangu alilogwa mbeta zikawa zinalia tumboni,badae aliomba msamaha akasamehewa ,chezea wakinga wewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.