Kawa na gari kali nje ya nchi sio dil sana. Suala ku import kuja bongo.
Sí kila siku tunaona magar yanauzwa nje hadi milion 3. Means ukiwa huko unaweza miliki. Jiroge sasa lilete bongo
Mi namiliki Kama Hiyo ila version ya nyuma yake kidogo, nakuhakikishia Ndinga hilo kwa bei yake kamwe hawezi kuimiliki, kwa mshahara wake atafilisika, hilo Ndinga wanamiliki wenye pesa ndefu kama Kina Dr. Dre na Bakhresa ambaye naye kashaliuza, kamuuzia yule bwasheeee