HahahhaUkikuta Simba anamla kada wa sisiem rushia pakiti la chumvi.
😂😂😂DahUkikuta Simba anamla kada wa sisiem rushia pakiti la chumvi.
Well said Nyota Njema ya JFWatu waliumbwa kupendwa.[emoji173][emoji173][emoji173]
Vitu viliundwa kutumika.[emoji375][emoji375][emoji375]
Sababu ya ulimwengu kuwa katika machafuko na mivurugano, ni kwa sababu vitu sasa ndio vinapendwa [emoji173][emoji173][emoji173], na watu wanatumiwa.[emoji375][emoji375][emoji375]
Upendo wa leo uko too sentimental.. Unaangaliwa una bei gani mfukoni na unamiliki nini...[emoji848][emoji2827][emoji3064]View attachment 2716053
Sent using Jamii Forums mobile app
Jemima MremboWell said Nyota Njema ya JF
Kama masihara vileAisee! Mambo Ni magumu Sana ckuiz
Upendo wa leo uko too sentimental.. Unaangaliwa una bei gani mfukoni na unamiliki nini...
Hakika ni kweli kabisa
Sura sio roho mtaniUlitaka je mtani wangu ? Tupende roho? Tupende sura?