Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,814
- 40,572
Usiseme kwamba kwenu wote wana ndevu. Inawezekana wewe siyo mtoto wa baba yako.Hello guys!!
Hii kitu kwangu imeshakuwa serious sasa. Muonekano wangu na umri naona kama haviendani. Hv kipi kinasababisha wengine ndevu kuchelewa kuota? Hakuna jinsi naweza fanya ziote?
Asili ya nyumbani wote wana ndevu.
Mtu nakaribia 30 lakini bado naonekana mtoto sana.
Bt si kwamba nakimbilia ukubwa. Ila muonekano na umri viendane.
Maisha haya basi tu.. Natafuta dawa ya kudhibiti ndevu mwingine anazitakaHello guys!!
Hii kitu kwangu imeshakuwa serious sasa. Muonekano wangu na umri naona kama haviendani. Hv kipi kinasababisha wengine ndevu kuchelewa kuota? Hakuna jinsi naweza fanya ziote?
Asili ya nyumbani wote wana ndevu.
Mtu nakaribia 30 lakini bado naonekana mtoto sana.
Bt si kwamba nakimbilia ukubwa. Ila muonekano na umri viendane.
Kila siku asubuhi lazima nipigie gitaa kwenye kidevu. Inaniudhi kweli!!!Maisha haya basi tu.. Natafuta dawa ya kudhibiti ndevu mwingine anazitaka
Halafu zina sifa kweli hasa zikianza kuota mviKila siku asubuhi lazima nipigie gitaa kwenye kidevu. Inaniudhi kweli!!!
Muazime hizo ndevu-wiiling donor ,willing recipient thingy.Maisha haya basi tu.. Natafuta dawa ya kudhibiti ndevu mwingine anazitaka
Nywele ni product yenye kizalia akigeuka kuwa mchawi atalia na mimiMuazime hizo ndevu-wiiling donor ,willing recipient thingy.
Dah Mimi huwa zinanikera pale asubuhi umelala unaamka unakuta zimejifungafunga kwenye MTO au miguu ya kitanda mpaka uanze kuzifungua fungua...unaweza Chelewa kaziniHalafu zina sifa kweli hasa zikianza kuota mvi
Hahahaha[emoji23] kwani wewe baniani?Dah Mimi huwa zinanikera pale asubuhi umelala unaamka unakuta zimejifungafunga kwenye MTO au miguu ya kitanda mpaka uanze kuzifungua fungua...unaweza Chelewa kazini
🙂Amna mi mhayaHahahaha[emoji23] kwani wewe baniani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usiseme kwamba kwenu wote wana ndevu. Inawezekana wewe siyo mtoto wa baba yako.
Inawezekana kwamba baba yake siyo mzazi wake.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
inawezekana kwamba??
KabisaaaahUsiseme kwamba kwenu wote wana ndevu. Inawezekana wewe siyo mtoto wa baba yako.
Nime cheka kwa sauti.... [emoji1787]Maisha haya basi tu.. Natafuta dawa ya kudhibiti ndevu mwingine anazitaka