Ndesamburo na tamaa ya Madaraka....

Hebu weka na data hapa kabisa tangia uchaguzi uliopita wabunge wa ngapi wa CCM wamekufa wakiwa wabunge;

Twende

1. Dr. Mgimwa

3.

Sasa unamshangaa nini Mzee Ndesa? Kama hamna cha kusema bora mkae kimya.

Tiba

Tiba umeshasema ni wabunge wa CCM,chama cha upinzani kinahitaji kujipambanua na kuonesha tofauti na ccm,=
 
Mimi ni mwanachama hai wa chadema kutoka moshi na kama hujui chama kilishapanga kabla hata ya uchaguz wa 2010 kua 2015 atagombea Mh. Japhary, sasa huu umbea wako dada mangi tafuta pengine pakuuongelea,,,

Nyie si ndo wale wale mnaopewa boda boda moja na ndesa mnauza utu wenu,unajidai chama kimepanga wakati chama kimekuwa na sauti kwa mtu mmoja na japhary mwenyewe ameona uchafu huo ameamua kujitoa kwenye siasa anasubiri muda wake uishe.
 

Ndiyo,Mimi ni Mwananchi wa Moshi kata ya Soweto.Wewe unaishi wapi unakotungia uongo huu?Njoro?Kata ya Kiusa?Majengo?Korongoni?Pasua?Kiborloni au kata ipi?
 
Nyie si ndo wale wale mnaopewa boda boda moja na ndesa mnauza utu wenu,unajidai chama kimepanga wakati chama kimekuwa na sauti kwa mtu mmoja na japhary mwenyewe ameona uchafu huo ameamua kujitoa kwenye siasa anasubiri muda wake uishe.

Wewe ni msemaji wa Jaffary?
 
Mbona unapanic kabla mzee hajatangaza, itakuwa vipi akitangaza nia.
 
"Nina pesa mingi sana, ndani na nje ya nchi Mwenyekiti sema ntoe Shilingi ngapi?" Babu Ndesa Pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…